Ni vigumu kuenjoy maisha bila mwanamke, inawezekana lakini ni vigumu

Au sio 😹
Huo utamu wa Singapore mpe Marry D mi sister sifanyi zinaa..!!
 
Hizi habari ukimwambia rafiki kipenzi wa Poor Brain aitwae DIVISHENI FOO hatakuelewa kabisa.
 
Hao watu ukijua kucheza nao utafurahia maisha kikubwa tu uwe na msimamo na ankara ya kuwalisha na vile vile msichunguzane kama vipepeo.
Pili usiwe muongo na usiwe mkweli kwa kila jambo linalowahusu nyie wote. Hapa wengi hamtaelewa ila ukweli mwanamke ndio starehe pekee maishani. Japo wanaweza kukupa stress ukakonda hadi pua lakini hao viumbe ni mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…