Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,508
- 15,276
Simp mwingine amekuja kulia hadharani..... kwa udhaifu huu, utaendelea kujuta.. .. acha sisi alpha male tuendelee kuwalia mademu zenuKikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao.
Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen