Simp mwingine amekuja kulia hadharani..... kwa udhaifu huu, utaendelea kujuta.. .. acha sisi alpha male tuendelee kuwalia mademu zenuKikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao.
Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen
Duka liko mtaa upi, kesho nimtume Ex wanguAnanichanganya mie ananiletea greetings za kichawa hapa..!! 😹😹
Mje mniungishe vijora niache makasiriko basi waungwana..!! 😹😹
Vibuyu Worldwide
Ndio mkuuKwamba hao ndio mambo yao kumbe
NB: Ukimpenda/kuvutiwa nae😂😂 umenichekesha Binti, but honestly sisi wanaume, hata uwe ngangari vipi ila unapokuwa mbele ya mwanamke lazima uwe mdogo kama piriton.