Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

We chawa afu unamkosea adabu mwanangu Huihui wa Bush stars hakuwa na chembe chembe za uchawa alikuwa mwanaume haswaaaaa.....you don't deserve the name.
Sijaona issue ya mtu kutovaa fulana au kuvaa fulana, kuijadili ni kielelezo cha kuwa mudilisi wa mawazo
 
Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.

Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri anamlamba Mseveni miguu, yaani mawaziri wa Mseveni sio Chawa na sio wajinga na hawajikombi.

Kenya sasa ndio Balaa, kule huu ujinga haujawahi kuwepo Kenya, Kenya waziri yuko radhi aende nyumbani kuliko kujikomba kwa Raiasi, Waziri ni bora afe kuliko umvalishe fulana ya Raisi na Bosi wake.Yaani anaweza chagua kifo kuliko kuishi na kuwa Chawa.

Njoo sasa Jamhuri ya Chawa,ambako kujikomba ni jadi yetu na nimoja ya Survive Model yetu ndani ya Tanganyika, ndio means pekee ya watoto kuweza kwenda Chooni. Huku akili hazihitajiki bali kasi ya uchawa ndio inayo hitajika.

Huku tunanarisishana uchawa, na kuna mashindano kabisa ya nani ni mlamba miguu bora.

Mtu kama Waziri mkuu bila kumaba miguu anahisi anaweza poteza kazi.

Angalia hio.
Kujipendekeza ni dalili ya kutojiamini
 
Rais WA mabango na machawa
 
Yaani watoto wa juzi wanaona Kuvaa nguo ikiwa na picha ya Rais si sawa. Lakini unawakuta wamevaa picha ikiwa na alama za Ushoga na Usagaji

Aliyeanzisha mada kiwango chake cha elimu kinanipa wasiwasi
Hakika mkuu wangu [emoji1787]

Ni lazima tuendelee kuwafundisha uadhimu na utukufu wa taifa lao....

Tanzania si Burundi ,Rwanda ,Kongo ,Malawi ,Somalia wala Sudan....
 
Alisema Assad nami namuunga mkono...
Tunao viongozi weeengi ambao hawana uwezo hata wa asilimia 30 katika kazi walizopewa!!!
Wawezacho zaidi ni kujipendekeza!!
Hii nchi Mungu atusaidie...
Kuheshimu viongozi wetu kukipingwa na maprofesa ndio tuache ada yetu?!!! [emoji44][emoji1787][emoji1787]

Hebu tumsome MAO TSE TUNG na "vita vya mbali" [emoji7]
 
Kwa
Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.

Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri anamlamba Mseveni miguu, yaani mawaziri wa Mseveni sio Chawa na sio wajinga na hawajikombi.

Kenya sasa ndio Balaa, kule huu ujinga haujawahi kuwepo Kenya, Kenya waziri yuko radhi aende nyumbani kuliko kujikomba kwa Raiasi, Waziri ni bora afe kuliko umvalishe fulana ya Raisi na Bosi wake.Yaani anaweza chagua kifo kuliko kuishi na kuwa Chawa.

Njoo sasa Jamhuri ya Chawa,ambako kujikomba ni jadi yetu na nimoja ya Survive Model yetu ndani ya Tanganyika, ndio means pekee ya watoto kuweza kwenda Chooni. Huku akili hazihitajiki bali kasi ya uchawa ndio inayo hitajika.

Huku tunanarisishana uchawa, na kuna mashindano kabisa ya nani ni mlamba miguu bora.

Mtu kama Waziri mkuu bila kumaba miguu anahisi anaweza poteza kazi.

Angalia hio.
Kwa hiyo na sisi tuige Kenya au Rwanda au Uganda? Huo ni upuuzi kabisa. Hao wote ni vi nchi vya hovyo.
 
Kila taifa lina aina ya siasa zake. We dont need to compare.
Na aina za siasa zetu ndizo zinazotufanya tudumu na amani tuliyonayo. Wakati majirani zetu huwa kinanuka muda wowote sisi tunadumu na amani.

Na amani inatusaidia katika masuala mazima ya uwekezaji, hakuna mfanyabiashara mwenye utayari wa kwenda kufanya biashara Kenya iliyojaa Gen Z halafu aache kuja Tanzania.
 
Hawa vijana kula kulala wanadhani mambo ni simple kihiivyo. Tunaridhika na kilichopo kwa muda huu kikija kingine tutakipokea
 
Mbona kila tukiongelea swala la Demokrasia tunalinganisha na Marekani,? Kwanini tusifanye na Comparison za uchawa kama zipo na kwingine?
Uko Sahihi.....ukiweza kuubadilisha huu mfumo,go ahead. Tutapokea kila litakalokuja kikubwa bongo iwe na amani.
Hizi siasa za uchawa zitapita tuu msijali
 
Hawa vijana kula kulala wanadhani mambo ni simple kihiivyo. Tunaridhika na kilichopo kwa muda huu kikija kingine tutakipokea
Analaumu akiwa sebuleni kwake nyuma ya keyboard. Harakati nyingi za kitanzania zinakutana na upinzani mwingi wa kivitendo kwani zipo kinadharia zaidi.

Kinachoendelea huko mtaani wanaharakati wanawaachia wengine kama vile hawahusiki.
 
Samia anafuata utawala alioutumia Mobutu seseseko kuku ngbendu wa zabanga ambapo wasaidizi wake wote walivaa nguo ambazo zinapicha yake Mobutu.
 
Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.

Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri anamlamba Mseveni miguu, yaani mawaziri wa Mseveni sio Chawa na sio wajinga na hawajikombi.

Kenya sasa ndio Balaa, kule huu ujinga haujawahi kuwepo Kenya, Kenya waziri yuko radhi aende nyumbani kuliko kujikomba kwa Raiasi, Waziri ni bora afe kuliko umvalishe fulana ya Raisi na Bosi wake.Yaani anaweza chagua kifo kuliko kuishi na kuwa Chawa.

Njoo sasa Jamhuri ya Chawa,ambako kujikomba ni jadi yetu na nimoja ya Survive Model yetu ndani ya Tanganyika, ndio means pekee ya watoto kuweza kwenda Chooni. Huku akili hazihitajiki bali kasi ya uchawa ndio inayo hitajika.

Huku tunanarisishana uchawa, na kuna mashindano kabisa ya nani ni mlamba miguu bora.

Mtu kama Waziri mkuu bila kumaba miguu anahisi anaweza poteza kazi.

Angalia hio.
Hata William Lukuvi yule aliyedai kanisani "hatuwezi kuicha Zanzibar iwe ya Waislamu....." leo naye yumo kama Mchengerwa afanalek njaa haina cha adabu wala heshima.
 
Back
Top Bottom