Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

Vishu Mtata ni kati ya .....
Na sio Vishu Mtata ni katik ya ...

Jifunze kuandika vizuri na kukagua maandishi yako kabla hujapost.
Usikimbilie kujibu ili ionekane upo active ilhali huna hoja yoyote zaidi ya mipasho.
Ninajua wewe huna uwezo wa kuongelea siasa. Najua Mara unajiita Kichaa mtata

Siasa ni Sayansi na siyo mihemko yako 🤣🤣🤣🤣
 
Katiba kaka ndo shida na hili TAIFA liliharibiwa na mheshimiwa Nyerere..wewe kila siku raisi anatoa mikeka utafanyaje sasa kama sio kumuabudu.mimi siwezi walaumu machawa nawalaumu maradhi, umasikini na ujingaa ambayo yanaendelea kushamiri kwa katiba ya Nyerere.
 
Ninajua wewe huna uwezo wa kuongelea siasa. Najua Mara unajiita Kichaa mtata

Siasa ni Sayansi na siyo mihemko yako 🤣🤣🤣🤣
Sawa hata hivyo sijaona nilichobishana na wewe zaidi ya wewe kunishambulia moja kwa moja.

Una hasira kijana, tulia.
Sio kila mtu atawaza vile uonavyo wewe, jitahidi kukubali kutokubaliana.

Kwa hekma tu, hebu rudi tangu comment yangu ya kwanza, ni wewe ulikua ukijijibu na wewe mwenyewe huku ukilihusisha jina la Vishu Mtata
 
Hapa sikushambulii hapa ninakupa Somo uache kuandika mashudu. Nimekosea kukwambia uache kuandika mashudu?

Pata somo hili hapa la bure 👇👇👇👇​

Siasa inajumuisha ukusanyaji wa data, utafiti wa kina, na uchambuzi wa takwimu ili kuelewa tabia za wapiga kura, mitazamo ya watu, na matokeo ya sera. Hii ni sawa na jinsi sayansi inavyotumia data ili kujenga nadharia na mifano.
 
Aiseee kwakweli sina cha kukujibu ndgu, acha ibaki hivyo uaminivyo.
Mtu unayelaumu wengine kwa kukosea kuandika ona sasa wewe. Hatujamaliza hata saa moja.
Unatakiwa ujifunze kusikiliza wakubwa acha mihemko. Nimekuambia uache kuandika mashudu

Somo:​

Kama ilivyo kwa sayansi, siasa pia inajaribu kuunda mifumo na nadharia zinazoweza kueleza na kutabiri matukio ya kisiasa. Hizi nadharia zinaweza kutumiwa kuelewa mienendo ya kisiasa, ushawishi wa nguvu, na mabadiliko ya kijamii.
 
Sawa.
 
Vishu Mtata kabla ya kuandika kitu kwa watu wenye akili hakikisha unauelewa mpana wa mambo ya siasa. Lakini wewe Vishu Mtata unaropoka tu

Somo:​

Katika siasa, kuna jaribio la kuthibitisha au kukanusha dhana fulani kwa kutumia mbinu za majaribio, tafiti za uwanja, na uchunguzi wa matukio. Hii ni mbinu inayofanana na sayansi katika kupima hypotheses.
 
Vishu Mtata nijibu basi nielewe kama somo langu limeingia kwenye kichwa chako.

Siasa, kama sayansi, hutumia lugha ya kiufundi na dhana maalum ambazo husaidia kuelezea dhana tata kwa namna inayoweza kueleweka na wanataaluma wa fani hiyo.
 
Hii nchi imeptoea sana hata wale wa wasomi tuliokua tukiwaaamini wamekua wajinga kupindukia na wao wakiingia kwenye mbio za ki barbarism we f***ed up.
 
Vishu Mtata nijibu basi nielewe kama somo langu limeingia kwenye kichwa chako.

Siasa, kama sayansi, hutumia lugha ya kiufundi na dhana maalum ambazo husaidia kuelezea dhana tata kwa namna inayoweza kueleweka na wanataaluma wa fani hiyo.
Unaipenda hii ID yangu sio bure.
Anyways nimekuelewa.
 
Vishu Mtata watu wanaongelea maendeleo ya nchi wewe unaleta mjadala wa picha ya Rais kwenye T-Shirt. Unaakili timamu kweli? 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kwa wale wenye tabia ya kufanya mapenzi na kuwaambia wenzao wafutie tshirt yeyote hapo chini na kwa bahati mbaya ikawa ndio hiyo tshirt ya mheshimiwa hapo si itakuwa ni bonge la disrespect😂
Anafutia yako?
 
Back
Top Bottom