Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

Uganda niliko, Kenya na Nyumbani Rwanda huwa hakuna na kamwe hawatakuwepo Wapumbavu kama wa Kwingineko.
 
Ili kuwasadia hawa watu inabidi kuanzisha mtaala wa uchawa mashulenj ili wawe chawa wenye kutumia akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…