Elections 2015 Ni vigumu sana kupata Rais mwenye sifa bora 2015

Elections 2015 Ni vigumu sana kupata Rais mwenye sifa bora 2015

Subiri wakati ukifika au kwa maana nyingine vyama vyote vitakapowapendekeza/kuwateua wagombea hapo ndipo tutajadili ni yupi atatufaa kutuongoza na sio kututawala kama ilivyo sasa. Kwa sasa ni mapema mno ndugu yangu Kashishi yetu.
 
Kama ni CCM aka Interahamwe wampe Nchemba Mwigulu.

Kwa ndugu zangu CDM kama nao watafaulu Lema Godbless.
Sasa usikurupuke ukanijibu MIMI umjibu mtoa mada nani atafaa.😛hoto:😛hoto:
 
Awe na msimamo kama putin

Mwenye malengo kama Chavez
 
Ni mapema mno kumtafuta Rais kwenye mitandao ya kijamii so far matatizo ya watanzania wengi hayapo kwenye mitandao ya kijamii...Labda tujadili rais wa wasafi ajae aweje!
 
Ikiwa kiongozi unashindwa kuyaacha yote yale ya binafsi "your personal issues"
Hakika hufai kuwa kiongozi
Ikiwa kiongozi unafanya kazi za uongozi na kuzifanya zionekane zimebeba ubinafsi yani ukashindwa kuyatenganisha Yale ya uongozi na Yale ya kwako binafsi "family issues"
Hakika hufai kuwa kiongozi

Ni dhahiri na wazi kabisa haya yapo kwa viongozi wetu wa Tanzania, wanashindwa kuuvaa uongozi kama vazi la kuwasimamia watanzania wote na wamevaa uongozi kama vazi la kusimamia maslahi ya familia zao binafsi na kuwaacha wale walio wengi waliowavisha vazi hilo wakiangamia kwa kuwakandamiza kifikra na kiutendaji ni dhahiri katika hili hawafai kuwa viongozi.
Kwani uongozi ni sacrifise, giving up everything to benefit of your people by leading them the way they wanted to be leaded.


Tafakari na utambue msingi halisi na maana ya uongozi kabla hujafikiria kuongoza

"Tanzania na mabadiliko mapya 2015"
 
Tumeshuhudia baadhi ya watanzania wanangangania urais ingalau hata wa wiki moja ambapo wengi wetu tukiwa masikini.
Watu kama hawa ni wakuogopa kama ukoma mana wanania mbaya na nchi yetu
Nawapongeza waheshmiwa wanaochapa kazi tena kwa uadiliofu mkubwa sana na wala hawajitangazi kama akina makamu wa rais bilal zakia meghj na prof. Anna tibaiojuka. Hawa viongozi wa nchi ni watu makini sana na mungu awajaalie kwani mnafanya kazi bila kutaka sifa kwa watu tofauti na wengine wafanyavyo.
Tanzania tusimchague mtu anayetaka utawala na akina mama 2015 jitokezeni wenye sifa mtupeleke somewhere pazuri katika nchi yetu tz.
Nawasilisha
 
WASIRA ni miongoni mwa wanasiasa wakongwe hapa nchini, ambaye amekua akitajwa tajwa katika Mbio za Urais pamoja na wanasiasa wengine.
Mahesabu yanaonyesha huyu mzee endapo akipita kuingia Tatu bora ndani ya Chama chake anauwezekano mkubwa kupeperusha Bendera ya Magamba vilivyo kwani kwa sasa ndo mtu ambaye wamekua wakimtegemea katika ujenzi wa chama chake pia ameonyesha wazi mtazamo wake kuwa hataki Serikali Tatu tofauti na wenzake ambao hawazungumzii Kabisa.

Je WASIRA ataweza kukemea Rushwa ambayo kwa sasa ni sawa na cancer hapa nchini???:sleepy:
 
..yule gaidi hafai,tulikuwa na upinzani sasa anawakandia!sio gaidi huyo?
 
[h=1]What Makes a Great President?[/h]We have probably heard the old saying that "anybody can grow up to be President." But, not everybody is cut out to be President. It takes a special kind of person, someone tough, smart, and driven, just to run for the job. It takes still more talent and character to hold up under the pressures of life in the White House.

Great Expectations
Americans expect a lot from their Presidents. Understandably, they want the President to take quick action on problems facing the nation, such as crime and drug abuse. However, the U.S. Constitution limits the President's power to act. Only Congress can pass legislation, and Congress sometimes moves slowly. The President can only approve or veto (reject) legislation that Congress passes. Even then, Congress can override a veto and make it the law. The Supreme Court can also limit the President's power by ruling that a law or action violates the U.S. Constitution. "The President has less power than the average voter thinks he does," says presidential expert Paul Boller. "He can't simply by himself make major domestic policies."

1. The "Bully Pulpit"
2. Facing Crises
3. Who Is Best Qualified?
4. Passing the Test


A King with Integrity:

Some day there will be a king who rules with integrity, and national leaders who govern with justice. Each of them will be like a shelter from the wind and a place to hide from storms. They will be like streams flowing in a desert, like shadow of a giant rock in a barren land.

Their eyes and ears will be open to the needs of the people. They will not be impatient any longer, but they will act with understanding and will say what they mean.

No one will think that a fool is honourable or say that a scoundrel is honest. A fool speaks foolishly and thinks up evil things to do.

A stupid person is evil and does evil things, he plots to ruin the poor with lies and to prevent them getting their rights (Katiba inclusive).

But an honourable person acts honestly and stands firm for what is right. (Rais tumtakaye awamu ya Tano, an Honourable person.)
 
WASIRA ni miongoni mwa wanasiasa wakongwe hapa nchini, ambaye amekua akitajwa tajwa katika Mbio za Urais pamoja na wanasiasa wengine.
Mahesabu yanaonyesha huyu mzee endapo akipita kuingia Tatu bora ndani ya Chama chake anauwezekano mkubwa kupeperusha Bendera ya Magamba vilivyo kwani kwa sasa ndo mtu ambaye wamekua wakimtegemea katika ujenzi wa chama chake pia ameonyesha wazi mtazamo wake kuwa hataki Serikali Tatu tofauti na wenzake ambao hawazungumzii Kabisa.
W
Je WASIRA ataweza kukemea Rushwa ambayo kwa sasa ni sawa na cancer hapa nchini???:sleepy:
Watanzania wanamuhitaji prof. Anna tibaijuka ndo awe rais 2015 tanzania
 
Taifa linahitaji mtu makini kama wasira, taifa linahitaji mzalendo na sio dalali
 
RAIS AJAYE 2015 HUYU HAPA..

(1). Mtanzania, mwana CCM, mzalendo na mwenye maono.

(2). Anatoka kwenye kabila dogo.

(3). Atakua na hofu ya Mungu.

(4). Muadilifu,hajawahi kutuhumiwa kwa rushwa.

(5). Hatakua mfanyabiashara wala tajiri.

(6). Mkakamavu,anajua vema usalama wa nchi,jeshi.

(7). Rais Kikwete anamfahamu.
 
asante unaakili sana,, shamba la mahindi hulikaidhi kwa Nyani
 
RAIS AJAYE 2015 HUYU!
Habari za ndani zilizopatikana zinasema kuwa mtu atakayemrithi ama kumpokea kijiti Rais Jakaya Kikwete atakua mwenye sifa kadhaa.Baadhi ya sifa hizo zilizovuja ni hizi zifuatazo:-
(1). Mtanzania, mwana CCM, mzalendo na mwenye maono.
(2). Anatoka kwenye kabila dogo.
(3). Atakua na hofu ya Mungu.
(4). Muadilifu,hajawahi kutuhumiwa kwa rushwa.
(5). Hatakua mfanyabiashara wala tajiri.
(6). Mkakamavu,anajua vema usalama wa nchi,jeshi.
(7). Rais Kikwete anamfahamu.
Inasemekana kuwa sifa hizi zinazingatia misingi ya baba wa taifa mwalimu Julius Nyerere aliyoiacha kwa taifa kama miongozo ya taifa wakati wa kupata uongozi wa nchi.Haya yanakuja kufuatia hali ya sasa ya siasa nchini na ndani ya chama kinachotawala ambapo fedha imekua nyenzo ya kununua uongozi. Aidha,changamoto za ugaidi, migogoro ya kikanda kama Sudan,Congo,Rwanda,Malawi na ushiriki wa Tanzania katika utatuzi zimefanya kigezo cha "ujuzi wa usalama na jeshi" kuingizwa katika sifa hizo za Rais ajaye.
Tutaendelea kupeana habari wana jamvi.
 
Back
Top Bottom