Ni vigumu sana Tundu Lissu kufanikiwa kisiasa kwasababu ni mtu wa tuhuma na wala hathamini michango ya wanasiasa wenzake ndani na nje ya Chama

kwa nguvu alizokuwa nazo mbowe ni wa kuonewa huruma kwamba alichafuliwa? Lile lilikuwa ni jabali kuling'oa ilikuwa ni shughuli pevu
 
Uenyekiti wake wa kukukashifu na kurusha tuhuma kwa watangulizi wake hauna baraka yeyote
Tulieni muda uta2aponya, mwambieni Mbowe ajaribu tena 2029 anaweza kushinda.
Pole sana ndg najua unavyojisikia.
 
unashutumiwa lakini uhai unao
Shutuma ni kupakazia wenzako maneno ya uongo kitendo hicho kimekatazwa hata kwenye vitabu vya Mungu kwamba ni kitendo cha kuua
 
Tulieni muda uta2aponya, mwambieni Mbowe ajaribu tena 2029 anaweza kushinda.
Pole sana ndg najua unavyojisikia.
Ukiachana na Mh Mbowe kikawaida alichofanya sii sawa
 
kwa nguvu alizokuwa nazo mbowe ni wa kuonewa huruma kwamba alichafuliwa? Lile lilikuwa ni jabali kuling'oa ilikuwa ni shughuli pevu
Angekuwa mstaafu hayo wangeyafanya ndani ya Chama warushiane shutuma huko huko lakini wa nje wasijue, ukipeleka nje ni sawa na kutoa siri za mwenza wako jambo ambalo ni la kudhalilisha lakini mkiyaongelea chumbani mnatengeneza heshima na ustaarabu
Wenza wangapi wanagombana ndani na hakuna watu wa nje wanaofahamu, hii ni kwasababu kila binadamu ana madhaifu yake, kwa mtu mwenye uelewa na utu hawezi kuweka madhaifu ya watu hadharani bali atawatafuta wayazungumze kwa faragha
 
Afanikiwe mara ngapi, kaisha kuwa mbuge miaka kibao, ameisha kuwa makam mwenyekiti Chadema na sasa mwenyekiti wa chadema.. unataka apate mafanikio gani tena..
Mtu aliefanikiwa huwa haombi mchango wa gari mkuu
 
Kwa hiyo tukusaidieje?
 
Ukiachana na Mh Mbowe kikawaida alichofanya sii sawa
Unakosea sana.
Mbowe na watu wa Mbowe wamemshambulia sana Lissu.
1. Wakasema hafai hata kuwa mwenyekiti wa Mtaa...cc Ntobi, hilo Mbowe hakulikemea hivyo alikubaliana.

2. Wakasema hana busara na mengine mengi.

3. Yeye Mbowe naye alimshambulia Lissu hadi kumwita mbangaizaji.

Mnatia huruma baada ya kambi yenu kushindwa, ninyi kambi yenu ingeshinda mlikusudia kumtimua Lissu.

Mnatabia ya kutobalansi mambo
 
Tatizo lako mtoa mada huna tofauti na machawa wa ccm unapenda kumtukuza kiongozi badala ya taasisi..na ww unataka Lissu awe anamtaja taja mbowe kama mapoyoyo ya ccm wanavyofanya kwa samia..mbona Mazuri ya mbowe na chadema hao kina lissu na wenzake wanayaenzi vizuri tu labda kana ulitaka wawe wanayaimba mafanikio ya mbowe kama kasuku yaani unataka wawe wanamuimba mbowe kwa lipi hasa ambalo halifahamiki alipokuwa kiongozi chadema hadi utake kina lissu wawe wanalishikia bango kuna lipi jipya kwa yaliyokwishapita yatasaidia nini..watu wanaangalia yanayokuja mbele alafu ww eti unataka wahangaike na yaliyopita.!
 
Hongera nawe umeweza kuanzisha uzi kumsema Tundu Lissu. Tujitahidi ziwe nyingi na tutumie IDs zetu zote
 
Lissu mpaka hapo alipo amefanikiwa sana kisiasa.Aligombea uenyekiti , uchaguzi umefanyika kwa uwazi na mshindi ameonekana.

Suala la urais, Lissu anaweza asigombee urais kwa hiyo ma-ccm msiogope. Manabii wanasema rais Oktoba 2025 ni mwingine kabisa,hatakuwa samia wala Lissu.Jambo alilolipanga Mwenyezi-Mungu hakuna binadamu awezaye kulipangua.
 
Wewe unaweza kuongoza hata kitongoji,
Usiyoyajua kaa kimya,
Mtoto akifanya vizuri hasifiwi,anaambiwa aongeze bidii
 
Wewe unaweza kuongoza hata kitongoji,
Usiyoyajua kaa kimya,
Mtoto akifanya vizuri hasifiwi,anaambiwa aongeze bidii
Uenyekiti wake kaupata kama jambazi anaeyeua ili afanikiwe yeye hana baraka yeyote
 
Baada ya kumpaka Mh Mbowe mavi ndipo watu wakamuona hafai yeye ndiye anafaa angekuwa ana heshima angefunga mdomo wake bila kumtapikia Mh Mbowe kura ndizo ziongee zenyewe lakini alianza kuharisha ndipo watu wakamchukia Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…