kwani yeye ni jinsia gani?kubali kupewa
Habari za Dominica,
Wanasema usipoweza kuingiza pesa ukiwa umelala, utafanya kazi maisha yako yote, sasa naomba kujua ni vipi naweza kuingiza pesa nikiwa nimelala?
Natanguliza shukran.
Stake hana sasa, ila wewe ni mkorofi sana6GMSML
Sportybet
Nenda Mombasa mkuu kule utaingiziwa Kila kitu ukiwa umelalaHabari za Dominica,
Wanasema usipoweza kuingiza pesa ukiwa umelala, utafanya kazi maisha yako yote, sasa naomba kujua ni vipi naweza kuingiza pesa nikiwa nimelala?
Natanguliza shukran.