Ni vipi naweza kuingiza pesa nikiwa nimelala?

Ila mada zako bana unapenda vitu vyepesi

Sasa unataka kulala huku unafanya kazi hii Kali ya mwaka

Juzi Tena ukawashaur wanaume wapake mafuta wapendeze😂😂

Bado ukasema wanaume watumie dressing table 😄😄😄 na makororo yake eg:lipgross,😂😂😂😂

Unakujaga kichwa kikiwa high ama 🤪🤪
😂😂😂
 
20260222_185942.jpg
 
kwani ukiwa handsome hufanyi kazi? wewe ni upindi
 
Back
Top Bottom