Weee!!!!Anzisha miradi kisha ajiri watu alafu nenda kalale
Mm niko stage pesa inaingia hata nilale mwaka mzima ila mwanzoni nilichakaa.Unajua KUCHAKAA?😃NILICHAKAA
Weee!!!!Anzisha miradi kisha ajiri watu alafu nenda kalale
Weee!Kafanye biashara ya ngono.
Hiyo unajiegesha tu kitandani unapigwa ukuni na pesa inaingia.. simple tu hivyo
UloziHabari za Dominica,
Wanasema usipoweza kuingiza pesa ukiwa umelala, utafanya kazi maisha yako yote, sasa naomba kujua ni vipi naweza kuingiza pesa nikiwa nimelala?
Natanguliza shukran.
Nambie mrembomkuu usitake battle na mimi. Kwa heri.
Subiri wanakuja kukupa muongozo.
😂😂😂
Unawahi sana kuziona nyuzi za mwanao, bila shaka umemfollow page zake zote.