Ni vipi naweza kuingiza pesa nikiwa nimelala?

Ila mada zako bana unapenda vitu vyepesi

Sasa unataka kulala huku unafanya kazi hii Kali ya mwaka

Juzi Tena ukawashaur wanaume wapake mafuta wapendezeπŸ˜‚πŸ˜‚

Bado ukasema wanaume watumie dressing table πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ na makororo yake eg:lipgross,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unakujaga kichwa kikiwa high ama πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Habari za Dominica,
Wanasema usipoweza kuingiza pesa ukiwa umelala, utafanya kazi maisha yako yote, sasa naomba kujua ni vipi naweza kuingiza pesa nikiwa nimelala?

Natanguliza shukran.
Nenda Mombasa mkuu kule utaingiziwa Kila kitu ukiwa umelala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…