Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Yohana 14:23Shalom wanajf ,
Nina swali hapa yesu alipojibu hili swali la mafarisayo nilikuwa naomba ufafanuzi wa kina .
KWAMBA NI KIVIPI UFALME WA MUNGU UPO NDANI YETU?
LUKA 17, 20-21
"Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza; wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu".
"THAT THE KINGDOM OF GOD IS IN YOUR MINDSET "
HOW COMES?
JUMAPILI NJEMA!
Kwahiyo ufalme wa mbinguni hautakuja duniani?Ufunuo wa Yohana 5:10
[10]ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
Ulimpokea Yesu na kutenda sawa sawa na neno la Mungu, ufalme wa Mungu unakuwa ndani yako
Kwa hiyo ufalme huu ni mdogo kiasi gani kuweza kukukaa ndani yetu?Baada ya Mungu kumuumba Adam alimpa utawala (dominion) juu ya dunia vyote alivyo viumba. Mwanzo (1:26-28).
Lakini ukiendelea kusoma utaona ktk mwanzo sura ya 3, Adam na mkewe Hawa wanamuasi Mungu na mamlaka ya kutawala (dominion) dhidi ya dunia wanaipoteza na inakuwa chini ya shetani ambaye wamemsikiliza na kumtii.
Sasa Yesu ambaye biblia inamuita ni Adam wa pili (1korinto 15:45) alikuja kurejesha ufalme (kingdom) ama mamlaka ya kutawala ambayo Adam wa kwanza aliyapoteza pale bustanini.
Hivyo anaposema ufalme wa Mungu upo ndani yenu anamaanisha ile mamlaka ya Kimungu mliyoumbwa nayo, kwa kuja kwake Yesu imerejeshwa tena ndani yenu.
Tazama hapa tafsiri ya neno “kingdom” kama lilivyo tumika kwenye mstari uliouliza wa Luka 17:21
Neno “kingdom” ni neno “basileia” kwenye biblia ya kigiriki (greek lexicon bible) maana yake ni;
kingdom
G932
G932
Lemma:
βασιλεία
Transliteration:
basileia
Pronunciation:
bas-il-i'-ah
Part of Speech:
Noun Feminine
Root Word (Etymology):
From βασιλεύς G935
Thayer Lexicon:
1. royal power, kingship, dominion, rule
a. not to be confused with an actual kingdom but rather the right or authority to rule over a kingdom
Kwa hiyo ufalme huu ni mdogo kiasi gani kuweza kukukaa ndani yetu?
as long as wewe umemkubali Mungu na kushika amri zake, ufalme wa Mungu uko ndani yako, yaani wewe ni mwanamfalmeKwahiyo ufalme wa mbinguni hautakuja duniani?
Kwa wapesi Ttu mamlaka hayo ya Mungu tunayaona pale unapokemea pepo na kutoka, kuombea wagonjwa na kupata uponyaji, kuomba Hekima na kupewa namna bora ya kuongoza au kufanya maamuzi hadi watu Wana shangaa... Hayo ni baadhi ya mambo ya nayo thibitisha kuwa ufalme wa Mungu uko ndani yetu!Baada ya Mungu kumuumba Adam alimpa utawala (dominion) juu ya dunia vyote alivyo viumba. Mwanzo (1:26-28).
Lakini ukiendelea kusoma utaona ktk mwanzo sura ya 3, Adam na mkewe Hawa wanamuasi Mungu na mamlaka ya kutawala (dominion) dhidi ya dunia wanaipoteza na inakuwa chini ya shetani ambaye wamemsikiliza na kumtii.
Sasa Yesu ambaye biblia inamuita ni Adam wa pili (1korinto 15:45) alikuja kurejesha ufalme (kingdom) ama mamlaka ya kutawala ambayo Adam wa kwanza aliyapoteza pale bustanini.
Hivyo anaposema ufalme wa Mungu upo ndani yenu anamaanisha ile mamlaka ya Kimungu mliyoumbwa nayo, kwa kuja kwake Yesu imerejeshwa tena ndani yenu.
Tazama hapa tafsiri ya neno “kingdom” kama lilivyo tumika kwenye mstari uliouliza wa Luka 17:21
Neno “kingdom” ni neno “basileia” kwenye biblia ya kigiriki (greek lexicon bible) maana yake ni;
kingdom
G932
G932
Lemma:
βασιλεία
Transliteration:
basileia
Pronunciation:
bas-il-i'-ah
Part of Speech:
Noun Feminine
Root Word (Etymology):
From βασιλεύς G935
Thayer Lexicon:
1. royal power, kingship, dominion, rule
a. not to be confused with an actual kingdom but rather the right
Duuuh mimi mfalme kwenye lipi?as long as wewe umemkubali Mungu na kushika amri zake, ufalme wa Mungu uko ndani yako, yaani wewe ni mwanamfalme
Nataka kujua kwenye ufalme wa mungu tutakula na kunywa?auKwa wapesi Ttu mamlaka hayo ya Mungu tunayaona pale unapokemea pepo na kutoka, kuombea wagonjwa na kupata uponyaji, kuomba Hekima na kupewa namna bora ya kuongoza au kufanya maamuzi hadi watu Wana shangaa... Hayo ni baadhi ya mambo ya nayo thibitisha kuwa ufalme wa Mungu uko ndani yetu!
deepBaada ya Mungu kumuumba Adam alimpa utawala (dominion) juu ya dunia vyote alivyo viumba. Mwanzo (1:26-28).
Lakini ukiendelea kusoma utaona ktk mwanzo sura ya 3, Adam na mkewe Hawa wanamuasi Mungu na mamlaka ya kutawala (dominion) dhidi ya dunia wanaipoteza na inakuwa chini ya shetani ambaye wamemsikiliza na kumtii.
Sasa Yesu ambaye biblia inamuita ni Adam wa pili (1korinto 15:45) alikuja kurejesha ufalme (kingdom) ama mamlaka ya kutawala ambayo Adam wa kwanza aliyapoteza pale bustanini.
Hivyo anaposema ufalme wa Mungu upo ndani yenu anamaanisha ile mamlaka ya Kimungu mliyoumbwa nayo, kwa kuja kwake Yesu imerejeshwa tena ndani yenu.
Tazama hapa tafsiri ya neno “kingdom” kama lilivyo tumika kwenye mstari uliouliza wa Luka 17:21
Neno “kingdom” ni neno “basileia” kwenye biblia ya kigiriki (greek lexicon bible) maana yake ni;
kingdom
G932
G932
Lemma:
βασιλεία
Transliteration:
basileia
Pronunciation:
bas-il-i'-ah
Part of Speech:
Noun Feminine
Root Word (Etymology):
From βασιλεύς G935
Thayer Lexicon:
1. royal power, kingship, dominion, rule
a. not to be confused with an actual kingdom but rather the right or authority to rule over a kingdom
Ndio maana nataka kuelewa zaidiNdugu Utajua wewe hayo ni Mambo ya kiimani na kiroho zaidi.. gspain na Daudi1 wako sahihi kabisa kwenye maelezo yao
Apo sawaUnaelewa vizuri lugha ya kiingereza?
Katika maelezo ya tafsiri ya neno kingdom (ufalme) niliyoambatanisha yanasomeka;
1. royal power, kingship, dominion, rule
a. Not to be confused with an actual kingdom but rather the right or authority to rule over a kingdom.
Hiyo (a) kwa kiswahili inamaanisha usichanganye ufalme (eneo la utawala) na haki ya mamlaka aliyonayo mtawala dhidi ya ufalme. Neno ufalme kama lilivyotumika kwenye Luka 17:20-21 linamaanisha mamlaka ya kutawala (iliyo ndani ya mtawala) na si eneo analo tawala.
A hivyo ni mkubwa koasi cha kutosha kukaa ndani ya wengi wote waliokubali popote walipoKwa hiyo ufalme huu ni mdogo kiasi gani kuweza kukukaa ndani yetu?