Ni vitu Gani huvipendi katika Movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili?

Eeh Afri ni Anaijua kaz yake sio hawa wahuni wa tz kazi kukutakata movie afu unakuta dj hajui chochote kuhusu sanaa isipokua lugha tu.
 
Hakuna Maana ya Kuangalia movie wwkat ubongo wako wote uko kwenye subtitle ni bora ukasome simylizi za magazetini tu au novel za kizungu.
 
Hebu acheni utani... Mtu yupo Korea anavunjaje ndoa ya mtu
Sasa inapotokea unaenda kazin unarudi unakuta hajapika ameshinda siku nzima anaangalia TV anaenda kukuletea chips ule ulale hapo shida inapoanza. Kwenye simu kasave picha wallpaper huyu jamaa πŸ‘‡ ukilala nae anamuwaza huyu jamaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamuonea wivu jamaa yupo zake Korea huko. Hapo kwenye kupika ndio tatizo ila kumuwaza acha amuwaze tu kwani wewe unapungukiwa nini
 
Utakuwa mtafasiri movie wewe, anyway yaani nikiona mtu anaangalia hizo series za kutafsiri namshusha thamani, mnatafsiri mtafikiri mnagombana na mtu kelele nyingi mpaka kero.
Utajua Hujui, Mke wako na wwtoto wqko ndo wanaztaka hizo mpaka mboga inaungua jikoni.
Afu unakaza fuvu[emoji849]
 
Unawez umiza mtu
 
Utajua Hujui, Mke wako na wwtoto wqko ndo wanaztaka hizo mpaka mboga inaungua jikoni.
Afu unakaza fuvu[emoji849]
Huo upumbavu nishaupiga marufuku nyumbani kwangu, sasa kama unaona nakupunguzia wateja tafuta kazi nyingine ya kufanya.
 
Kiufupi Mimi si mpenzi wa movies maana ni uongo ugonjwa wangu ni football hasa ulaya wabongo labda Simba na Yanga wakikutana au Simba akiwa anacheza na wababe wa Afrika
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamuonea wivu jamaa yupo zake Korea huko. Hapo kwenye kupika ndio tatizo ila kumuwaza acha amuwaze tu kwani wewe unapungukiwa nini
Inauma wakati anamuwaza yeye wewe unamuwaza yeye. Sio fair kabisa halafu jamaa mwenyew hana maajabu 🀣
🀣 🀣 🀣
 
Kiufupi Mimi si mpenzi wa movies maana ni uongo ugonjwa wangu ni football hasa ulaya wabongo labda Simba na Yanga wakikutana au Simba akiwa anacheza na wababe wa Afrika
Hope utakuwa shabiki wa Timu Mbovu Man U
 
Inauma wakati anamuwaza yeye wewe unamuwaza yeye. Sio fair kabisa halafu jamaa mwenyew hana maajabu 🀣
🀣 🀣 🀣
Anakwambia anatamani awe na Mwanaume kama Jumong πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nadhani mazoea tu, bora niangalie za kizungu sio nione ya kikorea iko dubbed [emoji16][emoji16] hunitazamishi hata kwa fimbo
Kikorea kitamu sana ukisikiliza mimi nimekamata maneno kibao ninaweza hata muda mwingine bila mtafsiri na subtitle ila ikawa poa coz naelewa viwili vitatu kimchongo mambo ya ;

Komasoo,Orabonye,peha,komashmita,koroso,moyoo,wanjani nk
 
Anakwambia anatamani awe na Mwanaume kama Jumong πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Akifa msanii anayempenda anaomboleza kabisa hataki hata kupika wakati anakufa mjomba wake aliyezaliwa na mama uyake alikula na kuku hata chozi halimtoki. Sasa unajiuliza huyu mjomba alimlea na kumbeba akiwa mtoto wakati huyu jumong kamuona kwenye movie hatari na nusu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…