Ni vitu gani muhimu Mwalimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti kazini?

Inferiority Complex, jiandae kuugua huu ugonjwa pindi utakapokutana na marafiki zako uliosoma nao ambao kwa sasa wao ni Lawyers, Doctors, Engeneers, TRA officers, politicians(Leaders)....

Maadam ulichagua mwenyewe kuwa mwalimu so jiandae kuvumilia yote mkuu ikiwemo dharau, humiliation maana haya ndiyo malipo ya kusoma kozi nyepesi kwa kuogopa kukosa mkopo na ajira.

Am out.

duh!umeongea ukweli wenye maumivu ndani yake...majitu yanakimbilia ualimu eti yapate mkopo chuo,sasa sijui watakua wanauza chaki huko mashuleni au vp,mishahara yao yenyewe ni kama posho kwa mtu wa TRA..mamaee,watajibeba huko vijijin waendako.
 
Hahahahahah
 
mkuu we ni mwalimu?nataka ku-connect dots

Mi mwenyewe nasubiri Ajira tar 15 bt nshashuhudia Rafiki yangu ambaye anatumia CRDB mshahara wake ulikuwa unachelewa kila siku from there naiamini NMB pekee kwenye mshahara wa ualimu
 
Muhimu sana,usisahau Ualimu ni WITO,mmelibeba taifa migongoni mwenu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
duh!umeongea ukweli wenye maumivu ndani yake...majitu yanakimbilia ualimu eti yapate mkopo chuo,sasa sijui watakua wanauza chaki huko mashuleni au vp,mishahara yao yenyewe ni kama posho kwa mtu wa TRA..mamaee,watajibeba huko vijijin waendako.

na majamaa wameridhika usipime,ni kama vile vice versa.naona ile akili ya ''sisi ndio tumewafundisha rais na mawaziri''.unazidiwa kipato na teja mpiga debe?teh,teh
 
Mi mwenyewe nasubiri Ajira tar 15 bt nshashuhudia Rafiki yangu ambaye anatumia CRDB mshahara wake ulikuwa unachelewa kila siku from there naiamini NMB pekee kwenye mshahara wa ualimu

ndo maana nikaauliza we ni mwalimu mana sometimes huwa mnakariri!mambo ya miaka ile unayazungumzia sasa
 
Sio mambo ya miaka ile ni mwaka Jana tu,nikuulize we ni Mwalimu ama unafanya kazi CRDB mana unavyoidifend
 
duh!umeongea ukweli wenye maumivu ndani yake...majitu yanakimbilia ualimu eti yapate mkopo chuo,sasa sijui watakua wanauza chaki huko mashuleni au vp,mishahara yao yenyewe ni kama posho kwa mtu wa TRA..mamaee,watajibeba huko vijijin waendako.

Mnawaonea donge wenzenu, na mtasugua gaga sana mtaani na mivyeti yenu ajira hakuna. Nendeni walimu mkafanye yenu, kwanza kazi haina hata stress. Haina kusimamishwa kazi wala nini, watoto wafeli wafaulu we mshahara uko palepale. Hawa wamesoma degree zao za law na social work wapo mtaani kazi hawna maisha yanawapiga vibao.
 
Ndugu, kuwa na hakika na unachoandika..hiyo kasumba ilikuwepo na watu wakaamini hivyo....ni vibaya kupotosha watu hususani Walimu. Mtumishi wa Serikali ana haki ya kuchagua popote anapopendelea kupata huduma za kibenki.

Utawaumiza wenzio NMB ndio bank mama kwa waalimu tatizo hizo bank nyingine mishahara inachelewa ingawa sio sana alafu branch ni chache kuna tatizo kidogo bora mshahara upitie NMB then hauamishie hizi bank nyingine.
 
duh!umeongea ukweli wenye maumivu ndani yake...majitu yanakimbilia ualimu eti yapate mkopo chuo,sasa sijui watakua wanauza chaki huko mashuleni au vp,mishahara yao yenyewe ni kama posho kwa mtu wa TRA..mamaee,watajibeba huko vijijin waendako.

Kuna watu mna mawazo mgando aseee mimi wazazi wangu waalimu na wamenisomesha shule nzuri nimefika chuo sikuwahi kuomba mkopo mpaka nimemaliza degree ya kwanza,maisha ni vile umejipanga mbona kuna watu tulisoma nao kozi hizo unazoziamini wanahangaika na maisha hapa mjini afadhali hata waalimu wanaishi maisha yao tatizo mnadanganyika na magari ya mikopo sijawahi kudharau ualimu hata kama sikusoma hiyo kozi bado nna washikaji waalimu tunapishana kwenye mishe kama kawa tatizo la utoto linakusumbua subiri upate TRA sasa na ndoto zako.
 
Sio mambo ya miaka ile ni mwaka Jana tu,nikuulize we ni Mwalimu ama unafanya kazi CRDB mana unavyoidifend

mkuu ujue hii imeanza mwaka wa fedha 2013/14 kuanzia July 2013,mi sipo CRDB nipo ofisi ya CAG na mshahara wangu upo NMB!
 
Mi mwenyewe nasubiri Ajira tar 15 bt nshashuhudia Rafiki yangu ambaye anatumia CRDB mshahara wake ulikuwa unachelewa kila siku from there naiamini NMB pekee kwenye mshahara wa ualimu

Ukianza kazi utajua nini maana ya kuficha mshahara...kitu kimeingia anakwambia bado...afu badae akihisi unataka kustuka anakwambia amelipia madeni... na kwa jinsi ulivyokuwa huna kazi, labda ulikuwa unamwomba nae anakudanganya kimtindo...itakuaje ufuatilie mshahara wa mtu ilhali hujawahi anza kazi...
Jamaa kakushauri kiungwana lakini ka wapenda huko its okay..mahaba niue....utakutana na foleni mpaka utatia adabu.
 
Sio mambo ya miaka ile ni mwaka Jana tu,nikuulize we ni Mwalimu ama unafanya kazi CRDB mana unavyoidifend
Natumaini tuko humu kuelimishana...lakini hulazimishwi maana ukweli waujua weye tofauti na propaganda..kwani weye watetea nmb wafanya kazi pale?
 
dah. hili nalo neno akili mkichwa. ahsante mkuu.

kijana Crdb wewe utakuwa wa mwisho kupokea mshahara uwe na ya

Nmb utapata mshahara wako kwa haraka ukitoka tu akaunti zingine ziwe za nyongeza tu

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom