Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
teh,teh mkopo na ajira ndo mshauri
Kama ni mkopo SEKTA YA AFYA(MEDICAL DOCTORS,NURSING,PHAMACY,LABORATORY TECHNOLOGY) wanapewa mkopo tena kama RUZUKU!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh,teh mkopo na ajira ndo mshauri
nijuze mkuu
mkuu pengine upo kwny box na hujui kinachojiri nje.hujui kama mishahara inapita crdb kabla ya benk zingine.sisi wa nmb huwa tunachek salary baada ya crdb kupokea
Inferiority Complex, jiandae kuugua huu ugonjwa pindi utakapokutana na marafiki zako uliosoma nao ambao kwa sasa wao ni Lawyers, Doctors, Engeneers, TRA officers, politicians(Leaders)....
Maadam ulichagua mwenyewe kuwa mwalimu so jiandae kuvumilia yote mkuu ikiwemo dharau, humiliation maana haya ndiyo malipo ya kusoma kozi nyepesi kwa kuogopa kukosa mkopo na ajira.
Am out.
Haijalishi bt napenda NMB zaidi
duh!umeongea ukweli wenye maumivu ndani yake...majitu yanakimbilia ualimu eti yapate mkopo chuo,sasa sijui watakua wanauza chaki huko mashuleni au vp,mishahara yao yenyewe ni kama posho kwa mtu wa TRA..mamaee,watajibeba huko vijijin waendako.
mkuu we ni mwalimu?nataka ku-connect dots
duh!umeongea ukweli wenye maumivu ndani yake...majitu yanakimbilia ualimu eti yapate mkopo chuo,sasa sijui watakua wanauza chaki huko mashuleni au vp,mishahara yao yenyewe ni kama posho kwa mtu wa TRA..mamaee,watajibeba huko vijijin waendako.
Mi mwenyewe nasubiri Ajira tar 15 bt nshashuhudia Rafiki yangu ambaye anatumia CRDB mshahara wake ulikuwa unachelewa kila siku from there naiamini NMB pekee kwenye mshahara wa ualimu
ndo maana nikaauliza we ni mwalimu mana sometimes huwa mnakariri!mambo ya miaka ile unayazungumzia sasa
duh!umeongea ukweli wenye maumivu ndani yake...majitu yanakimbilia ualimu eti yapate mkopo chuo,sasa sijui watakua wanauza chaki huko mashuleni au vp,mishahara yao yenyewe ni kama posho kwa mtu wa TRA..mamaee,watajibeba huko vijijin waendako.
Ndugu, kuwa na hakika na unachoandika..hiyo kasumba ilikuwepo na watu wakaamini hivyo....ni vibaya kupotosha watu hususani Walimu. Mtumishi wa Serikali ana haki ya kuchagua popote anapopendelea kupata huduma za kibenki.
duh!umeongea ukweli wenye maumivu ndani yake...majitu yanakimbilia ualimu eti yapate mkopo chuo,sasa sijui watakua wanauza chaki huko mashuleni au vp,mishahara yao yenyewe ni kama posho kwa mtu wa TRA..mamaee,watajibeba huko vijijin waendako.
Sio mambo ya miaka ile ni mwaka Jana tu,nikuulize we ni Mwalimu ama unafanya kazi CRDB mana unavyoidifend
Mi mwenyewe nasubiri Ajira tar 15 bt nshashuhudia Rafiki yangu ambaye anatumia CRDB mshahara wake ulikuwa unachelewa kila siku from there naiamini NMB pekee kwenye mshahara wa ualimu
Naombeni kuuliza suala la account ya benki, wanahitaji punde tu ukiripoti?au baada ya muda fulani?
Natumaini tuko humu kuelimishana...lakini hulazimishwi maana ukweli waujua weye tofauti na propaganda..kwani weye watetea nmb wafanya kazi pale?Sio mambo ya miaka ile ni mwaka Jana tu,nikuulize we ni Mwalimu ama unafanya kazi CRDB mana unavyoidifend
dah. hili nalo neno akili mkichwa. ahsante mkuu.