Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

Ukute ni store ya misukule yake, utakomaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 Kuna siku lilitoka bonge la joka. Vijana wakataka kuliua maza hausi akawahi kulirudisha ndani!!
Sema mimi nilikuwa jeuri siwaogopi nilikuwa nawapasha ebooh..!! Kodi nitoe halafu unisumbue?? Nawatishaga mi mkinga sirogeki 🤣🤣🤣
 
Wenye nyumba wengi wachawi sana!! Kuna siku nimetoka kuoga nikawa napaka mafuta, ghafla nikaona mlango unafunguka wenyewe na nilifunga na funguo.!! Nikatulia nione nani anaingia, holaa hakuna mtu.
Siku nyingine nimelala nimevaa kipensi na tshirt, asubuhi nimejikuta niko kichele 🤣🤣🤣
Nikajua labda itakuwa nimejimix nikaanza kuitafuta ile pensi sijaiona, baada ya siku tatu naona mtoto wa mwenye nyumba ananiletea eti alianua kwenye kamba na nguo zao.!! Nikamwambia hiyo nguo una uhakika umeianua kwenye kamba?? Nikaona anaona km aibu, baada ya siku kadhaa akanisimulia story nzito.
Siku nyingine nimerudi nimechoka nimekaa naangalia tv, naona mkono wa skeleton unanifanyia massage dadeq 🤣🤣🤣🤣

Mwisho nilimtolea uvivu mwenye nyumba akanipa notisi.!! Ila baada ya kuomba mzigo nikamwambia ntamwambia mkeo.
Uchoyo tu si ungempa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna nyumba moja nilihama kwa sababu ya mbwa wakali
Naogopa sana mbwa mimi
Sasa walikuwa wanafunguliwa usiku
Sometime nachelewa kufika nyumbani au labda nataka nitoke usiku siwezi maana mbwa washafunguliwa...
Bff unaogopa mbwa?? Mi nawapenda ila sio wale km wa kina sepenga..!!
Nayapenda yale ya kufukuza wezi na vibaka. Tena kwenye msosi wao nawaambia wawekee na jani la mzee wa Jamaica Bob ili wavurugwe. Na sifugi majike sitaki wajukuu 🤣🤣🤣
Nawapenda askari wangu hawajawahi kuniangusha
 
Mimi nawaogopaaa.....sisogei mahali walipo
Hiyo nyumba niliishi kwa shida sana...uzuri nilikuwa nasafiri sana nakuwepo kwa nadra
Kwangu sifugi mbwa kabisa najichanga nifunge security system.
 
Wenye nyumba wengi wachawi sana!! Kuna siku nimetoka kuoga nikawa napaka mafuta, ghafla nikaona mlango unafunguka wenyewe na nilifunga na funguo.!! Nikatulia nione nani anaingia, holaa hakuna mtu.
Siku nyingine nimelala nimevaa kipensi na tshirt, asubuhi nimejikuta niko kichele 🤣🤣🤣
Nikajua labda itakuwa nimejimix nikaanza kuitafuta ile pensi sijaiona, baada ya siku tatu naona mtoto wa mwenye nyumba ananiletea eti alianua kwenye kamba na nguo zao.!! Nikamwambia hiyo nguo una uhakika umeianua kwenye kamba?? Nikaona anaona km aibu, baada ya siku kadhaa akanisimulia story nzito.
Siku nyingine nimerudi nimechoka nimekaa naangalia tv, naona mkono wa skeleton unanifanyia massage dadeq 🤣🤣🤣🤣

Mwisho nilimtolea uvivu mwenye nyumba akanipa notisi.!! Ila baada ya kuomba mzigo nikamwambia ntamwambia mkeo.
Pole nyumba yenye mauza mauza nishawahi kukaa Mbezi dadekii kila ikifika saa saba usiku unasikia vikombe vinagongana au mtu anatembe ukutani nilikaa mwezi nikaenda kumkunja dalali arudishe pesa yangu kabla sijageuzwa ndondocha.
 
Mimi nawaogopaaa.....sisogei mahali walipo
Hiyo nyumba niliishi kwa shida sana...uzuri nilikuwa nasafiri sana nakuwepo kwa nadra
Kwangu sifugi mbwa kabisa najichanga nifunge security system.
Mbwa wana vibe wewe!! Nikisafiri nikirudi yanajua yatapiga kelele, kuna siku yalinidandia mpk yakanikatia mkanda wa handbag yangu 😂😂😂
Siku nyingine natoka asubuhi niende job, kumbe walikuwa hawajayafungia bandani moja likavuta wig nikalifokea likakimbia, ilibidi nirudi tena ndani kulichana upya!! 😂😂😂
 
Pole nyumba yenye mauza mauza nishawahi kukaa mbezi dadekii kila ikifika saa saba usiku unasikia vikombe vinagongana au mtu anatembe ukutani nilikaa mwezi nikaenda kumkunja dalali arudishe pesa yangu kabla sijageuzwa ndondocha.
Wii nyumba za kupanga jau sana!!
Au usiku unasikia km mchele unamwagwa juu ya bati.
 
Kuna mtaa mmoja hivi nliishi nliama kisa mjukuu wa bibi na bibi mwenye nyumba,huyo bibi nlijenga mazoea nae sana Hadi ikafikia hatua na kula kwake na msaidia Hadi nakazi nikawa kama familia lakini majirani zake ambao wapo ule mtaa walikuwa wananipa stori mbali mbali ikisifikana kuwa yule bibi ni mchawi na inasemekana aliua Hadi watoto wake wote Mimi nkawa siamini kwa sababu yule bibi naishi nae vizuri anapenda mambo ya dini na mwimbia nyimbo za tenzi Hila siku Moja mjukuu wake alikorofishana na watu uko mtaani sasa akawa anapigwa yule bibi uwezo wa kupambana Hana Mimi nikawa na mtetea mjukuu wake lakin Cha ajabu baada ya kumaliza kumtetea bibi akaniona Mimi mbaya kwamba mimi ndo nimesababisha mpaka yote yatokee yule bibi na mjukuu wake wakaanza kunishambulia kwa maneno ya kutisha kwamba Mimi ni mtoto mdogo sana watanifanya niteseke mara watanikata ulimi na kunila nyama yangu hili kuwa jion usiku sikulala mle ndani baada ya wiki nikaama kabisa..mjukuu wake ni wakike mpaka kesho atuongei na hata nikisema niende kuwapa hai washikaji waliopanga pale kwake uwa anawaambia ataki kuniona
 
Back
Top Bottom