Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

Kipengele cha maji kama bomba lipo kodi inabidi iinclude estimate flani ya maji hapo hapo
 
Chai
 
Nilipanga nyumba Kinondoni, ina parking nzuri kabisa. Nolipohamia, na kuleta gari yangu, mama mwenye nyumba akaniambia gari yangu inatetemesha nyumba yake itavunjika, niwe na park CCM
Ungepeleka gereji mchangani tu.
Ukienda kupaki huku huna nyumba we vp..
Pale migo shemeji kaja na Volkswagen kaiacha nje kaenda kula mbususu.
Asubuhi anaenda kakuta watu wa kazi wamelamba kila kitu,wakaacha body tu.
Karudi anapiga makelele nimeibiwa nimeibiwa.
 
Kituko ni mwenye nyumba kuniachia mke wake nilale nae
 
Tulipanga nyumba aiseee naisifu ile nyumba usalama wake ni 102%. Ila kwa kuwa nikitoka ni mishe mishe kwahiyo mtaani sikai sana na wana kupiga stories.

Siku nimenda kunyoa saloon ndio kuna mshkaji akaniambia ww ile nyumba umeipendea nini huoni watu wengi wakija pale hawachui muda wanahama.?

Nikavuta picha kuna wanafunzi wa duce walipanga wakahama. Ila sie tupo tu kama nyumba yetu vile.

Jamaa akawa anasema ile nyumba sio poa.Dah nikaanza kuwauliza madogo mbona nasikia fununu kuhusu hii nyumba na wale na wao wakaanza kufunguka kuwa kuna mchizi chumba cha mwisho alistuka usiku anakuta baba mwnye nyumba Kamkalia kama dog style anataka kummaliza dah.
Jamaa kastuka wakagombana kinoma ikawa msalama ,jamaaa akahama pale .hii cenario ilinistua sana nikasema isije ikawa ndio michezo yake huyu mzee wa chochote kitu.

Nikajaribu kuwauliza wapangaji wengine na wao waliohama ila hawakunipa ushirikiano basi kodi ilipoisha tukahama maeneo sio mbali sana na pale.

Ila huyu mwenye nyumba ilikuwa mara nyingi sana lazima utakutana nae usiku wakati unatoka chooni

Kama usiku mzima anatembea.na hana mke chumba chake hata watoto hawaiingiii ni marufuku
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€²
 
Chai
 
Mwenye nyumba hataki niskilize mzk anadai namuharibia nyumba kwan mzk unadunda sn kwahiyo utalegeza misumari ya bati, pili wakati wa masika chooni mafunza yanatoka unakuta choo kmetapakaa funza ukmwambia ananuna.
 
Punguza fix........πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…