ntogwisangu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 524
- 164
then kwa utafiti huu stil watu bado wanaendelea kumla??
Kweli kipenda roho..
unajua maana ya utafiti wewe?na hata kama ingekuwa hivyo wajua there is nothing in human body full of micro-organisms than a vagina na still unaloweka na chumvini unaenda!!!!wacha watu wale kitimoto we mtoto!!
Hata ma chimp pia, tena nimeambhwa wao huwa wanahonga pia
umetoka nje ya hoja,full mapovu hata ueleweki!!!!!nini hoja yako?nyama ya nguruwe?heat period ya nguruwe au?mnyukano wa kizota unakusumbua!!!
Yuko sahihi japo watu wa wildlife wanasema na nyani pia. Mbwa ni for reproduction only, na ndio maana hapandwi akiwa hayuko kwenye heat, mbuzi halikadhali.
Bazazi nilikuwa BSc Agric general nilimaliza 2007 alikuwa anatufundisha soil chemistry jamaa ni mjima kweli huwezi amini hadi leo ana gari 1 tu landrover 109 na linaendeshwa na mkewe tu alikuwa mwl wangu wa special projectUlikuwa kozi gani na ni mwalimu wa nini?Unataka kuniambia anawaacha Wasuaso wanaotaka alama (marks) za vyupi?
Ingawa inaweza kuwa kweli lakini NGUMU KUMESA>
Bazazi
Mkuu umenikumbusha Mwl wang Prof J.P. Mrema pale SUA alituambia class namnukuu "I hate sex i have done it very rarely and only for reproduction purpose" akatuacha hoi .........!!!!
Ahahahahaaaaa, huyo prof. namkumbuka sana make alikuwa anastory kali kweli class na ule mwondoko wake wa kuchechemea/kunyatia anasema, "Guys, i walk this way because i don't want to disturb the soil structure'
Yaah nadhani hilo alilokueleza prof halina ubishi, lakini vipi kuhusu hawa sokwe wa jamii ya Bonobo mbona wao wanapiga ngono mwanzo mwisho yaani wanajiachia kuzidi maelezo? Tena nasikia hao Bonobo ndio mabinamu wa karibu wa binadamu huko msituni, je hawawezi nao wakawa ni wamojawapo wa kufanya ngono kuwa starehe?Katika mazungumzo yangu ya kawaida tu,nimekutana na prof wa biology,katika kuongea hapa na pale akanieleza unajua katika viumbe vyote vilivyopo duniani hapa ni BINADAMU NA DOLPHIN tu ndio huwa wanaigeuza purposely ngono kuwa starehe,viumbe vingine vyote ni purposely for reproduction!!!!Sasa kuna ukweli katika hili?na kama kuna ukweli ni kwa nini viumbe hivi vilifikia huko kuifanya starehe na reproduction kutokea ndani ya starehe na si vingine vinavyokutana purposely for reproduction?
He is either joking or he needs help( treatment)Mkuu umenikumbusha Mwl wang Prof J.P. Mrema pale SUA alituambia class namnukuu "I hate sex i have done it very rarely and only for reproduction purpose" akatuacha hoi .........!!!!
Mkuu umenikumbusha Mwl wang Prof J.P. Mrema pale SUA alituambia class namnukuu "I hate sex i have done it very rarely and only for reproduction purpose" akatuacha hoi .........!!!!
Do not 'pick' each 'word' from Professors. They are and only remain human beings.
No. I didn't mean they(Professors) are confused. But I meant they have some weaknesses as any other human being.you mean confused human beings?