Ni vizuri kumwambia mkeo kiwacho Cha pesa unacholipwa kazini?

Hahahahah akili ya unayemwambia sasa ikoje. Maana wengine ukimwambia basi ndio inakuwa sababu ya ku misuse. Ukikoroma unaambiwa kwani million 2 yote inafanya nini.
 
Tatizo letu ni kuigana. Ndugu zangu hakuna formula ya kuendesha familia hako kwa sababu binadamu tunatifautiana. Kila mtu ifaavyo kwa familia yake
 
Watu kama nyie mkifa mtoto yenu inateseka vibaya sana.
Kwani ww ni Mungu? Toa utopolo wako hpa anaejua kesho ni Mungu pekee sio mimi wala wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…