Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Na hanaga makasiriko hata atukanwe vipi wala hajali.😂 anataka akalime kukuza uchumi wa nchi.
Equation x Ndio anaifaidi Fake ID, mara ni mzee, mara ni kijana, mara kamgeukia Mungu, hujakaa sawa mbio mbio na mashangazi na bia 😂
Nikiona mada zake huwa nacheka kabla hata ya kuzisoma.