Na hanaga makasiriko hata atukanwe vipi wala hajali.π anataka akalime kukuza uchumi wa nchi.
Equation x Ndio anaifaidi Fake ID, mara ni mzee, mara ni kijana, mara kamgeukia Mungu, hujakaa sawa mbio mbio na mashangazi na bia π
Nikiona mada zake huwa nacheka kabla hata ya kuzisoma.
sawaNipm
Tatizo mzee wenu anakula vizuri, mpaka viungo vinasimama; mpeni msongo wa mawazo ili isiwe inasimamaHatari huyo mzee wako ana tabia kama za Equation x π
Ijumaa leo, jioni tunaenda kiwanja kipi?π anataka akalime kukuza uchumi wa nchi.
Equation x Ndio anaifaidi Fake ID, mara ni mzee, mara ni kijana, mara kamgeukia Mungu, hujakaa sawa mbio mbio na mashangazi na bia π
Nikiona mada zake huwa nacheka kabla hata ya kuzisoma.
Alafu baadae unakuja na uzi unataka kurudi bush π we jamaa ππIjumaa leo, jioni tunaenda kiwanja kipi?
Huyu mzee itakuwa kajifunzia kwako πTatizo mzee wenu anakula vizuri, mpaka viungo vinasimama; mpeni msongo wa mawazo ili isiwe inasimama
Vipi kama alikukataa akiwa na nguvu,ila baada ya kuishiwa nguvu na pesa ndo akukumbuke?Sio vizuri mtoto kumkataa mzazi hata kama ana tabia mbaya kwani hakuna mbadala wa mzazi,maana mzazi wako atabaki kuwa huyo huyo siku zote na haitabadilika kamwe
KUMBUKA:Undugu ni kama kovu halifutiki kwa sabuni.
ova
Mtu kama huyo mkatae Dunia imuadhibu anaweza pata akiliJapo imeandikwa kuwa kila binadamu ana mapungufu yake
Ila mapungufu hayo yakizidi ayo tunaita makusudu.
Let me go straight to the topic
Ilikuwa mwaka 2010 baba alimuacha mama na kwenda kuishi na mwanamke mwingine alituacha sisi tukiwa bado watoto wadogo.
Mimi ndo first born katika familia yenu na kipindi icho nilikuwa na miaka 13 tu baba akaamua kuachana na mama na kwenda kuishi na mwanamke mwingine uko.
Mama akaendelea kutulea
Miaka ikaendelea kusonga kwa bahati mbaya na nzuri baba akaachana na Yule mwanamke akafukuzwa kabisa na Yule mwanamke.
Akawa anatangatanga usiku na mchana kulala nje maana alikuwa Hana Tena sehemu ya kuishi.
Sisi kama watoto wake tukaona hii haiwezi kuwa vizuri kumuacha baba yetu ateseke na tukiwa bado tupo Hai mimi na mdogo wangu tukamtafutia sehemu ya kuishi tukawa tunamlipia kodi ya nyumba.
Toka apate hiyo nyumba matukio yanatokea kila siku mara ashikwe na wake wawatu
Magomvi na majirani zake
Ila cha ajabu na cha kushangaza.
Mke wangu ana mdogo wake wakike kana miaka 18 tu anafikaka home kuja kumuangalia Dada yake na mara nyingine anatukuta na baba tunapiga mastory
Leo kamekuja kunionyesha sms za mzee wangu aki mtongoza kwenye simu.
Mpaka Sasa nashindwa na lakusema sijui ni decide kitu gani
Mkuu sometimes tunafunika kombe tu,hakuna namnaVipi kama alikukataa akiwa na nguvu,ila baada ya kuishiwa nguvu na pesa ndo akukumbuke?