Ni vyema Israel imuue na Ayatollah wa Iran

Umehamaki sana, Dunia haina mwisho mwisho utakuwa ni sisi Viumbe.

Ayatolah awahiwe kabla ya yeye kuanza kurusha makombora ili uwe mwisho wa Ugaidi.
 
Kosugi, Faiza fox, Ritz,webabu and the like hatuwataki humu. Halafu na ww muungwana usinichoshe mm nmelewa na nmeagiza kitimoto naomba uniache.
Webabu kwakwel ntamwombea msamaha ikibidi ntamtaftia paspot atoroke hao wengne lolote litokee
 
Wamuue pia mama yako na mumeo
 
Ayatollah kawa tena agent wa Israel ?
Hapana nilivyosema ni agent wao sikumanisha Israeli. Bali ni agent wa watu wenye nguvu kubwa Duniani, ambao wamesimika huo utawala wa ki ayatollah nchini Irani, ambao ndio haohao waliowaweka taifa feki la Israeli ya wazungu.
 
Usisahau Hata Israel ideology yake daima ni kuteketeza wale wote wenye ideology za kuishambulia na kuhatarisha usalama wa taifa lao. Kwa hiyo ni clash of ideologies na manifestation yake ni uwanja wa vita. You ask for it you gonna get it just how you like it.
 
Vita haiwezi kwisha kwa kumuua kiongozi, watu wanapigania Ideology sio kiongozi
 
Usitake kupotosha Umma. Tofauti Kati ya Israel na hawa islamists (ondoa UAE na kwa siku za karibuni Saudi Arabia) ni kama mbingu na nchi. Israel imekubali kuishi ndani ya Israel na waarabu waislam kwa sasa wanafikia milioni mbili. Nenda maeneo ya wapalestina zero myahudi. Nenda huko Syria, Iraq na Yemeni- zero myahudi. Israel akipigana nao vita basi ujue alichokozwa na bado huwa anawa alert raia kabla ya shambulizi

View: https://x.com/OliLondonTV/status/1840421631891538194
 
Re-up Your perceptive and cognizance faculties. Sasa nilichoandika mimi kina conflict vipi na ulichoandika wewe? If you choose a peaceful coexistence Israel hana shida nawe mtaishi pamoja if your ideology ni kuleta shida then utapewa unachostahili toka kwa mzayuni.
 
Aaah acha basi.

Hujawaza juu ya mpango mkakati wa Urusi na Uchina Kwa uwepo wa Iran kama ilivyo Israel na Saudia Kwa Wamarekan?.


Hiyo itakua ni vita ya tatu ya Dunia !!....


Kama Urusi aliingilia Kati mgogoro wa Syria, ili kujihakikishia Usalama wa Biashara ya Gesi na Mafuta.

Sembuse Iran?
 
Tel aviv imebamizwa muda huu πŸ‘‡πŸΎ
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…