1. Kwenye UNGA kiongozi yeyote anaweza kusema chochote kile. Akina Hugo Chavez, Mahmoud Ahmadinejad wameshawahi kuisema vibaya Marekani na hakuna kilichowatokea. UNGA ni jukwaa huru la kimataifa. Halitumiki kuwaziba watu midomo na wala halitumiki kama mtego wa kuwakamatia watu. Hata Gadaffi alishahutubia UN na hakuzibwa mdomo wala kukamatwa.
2. Israel ni mtoto wa Marekani. Kila mwaka inapewa mabilioni ya dola ili kuimarisha ulinzi wake. Vifaa vingi, kama sivyo, vilivyo vya kijeshi vinavyotumiwa na Israel ni vya kimarekani. Hizo F-22, F-35, n.k.. zote ni za Wamarekani.
3. Huna hoja yoyote ile zaidi ya ujinga tu uliojaa kichwani mwako.