Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,585
- 1,546
Kuna habari Kwamba ayatollah Ali khameney ana kansa ya kibofu cha mkojo na iko stage ya hatari Kwa Sasa..Kwa hio keshatanguliza mguu mmoja mortuary..Yeye ni Kama embe linalosubiriwa kuanguka.