Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

Nina hakika makamu wa rais wa awamu ya tano angekuwa anatokana SG usingeleta uzi huu. Kwanini hukuuleta kabla daddy wako hajaondoka tukuone mzalendo kweli. Mwacheni mama arekebishe nchi hii iliyoharibiwa
Hivi ni nini kilianzaKatiba au Makamu,Ina maana hawakusoma kwamba makamu wa rais anaweza kuwa rais wakati wowote linapotokea lililoandikwa kwenye KATIBA,au walidhania nini,Mimi naamini KATIBA ilishatoa sifa za makamu wa rais kwa hiyo kwa mujibu wa waliomteua tunaamini walingatia sifa hizo
 
Washawishi mataga wenzako kudai katiba mpya
 
Naona hata hivyo waliwaza waza sana kuhusu hilo, more respect to Mabeho atakuwa alilisimamia hili.
 
Asante mod kwa kutupumzishia hiki kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…