This Day
Member
- May 6, 2021
- 24
- 15
Hivi ni nini kilianzaKatiba au Makamu,Ina maana hawakusoma kwamba makamu wa rais anaweza kuwa rais wakati wowote linapotokea lililoandikwa kwenye KATIBA,au walidhania nini,Mimi naamini KATIBA ilishatoa sifa za makamu wa rais kwa hiyo kwa mujibu wa waliomteua tunaamini walingatia sifa hizoNina hakika makamu wa rais wa awamu ya tano angekuwa anatokana SG usingeleta uzi huu. Kwanini hukuuleta kabla daddy wako hajaondoka tukuone mzalendo kweli. Mwacheni mama arekebishe nchi hii iliyoharibiwa