Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

Nina hakika makamu wa rais wa awamu ya tano angekuwa anatokana SG usingeleta uzi huu. Kwanini hukuuleta kabla daddy wako hajaondoka tukuone mzalendo kweli. Mwacheni mama arekebishe nchi hii iliyoharibiwa
Hivi ni nini kilianzaKatiba au Makamu,Ina maana hawakusoma kwamba makamu wa rais anaweza kuwa rais wakati wowote linapotokea lililoandikwa kwenye KATIBA,au walidhania nini,Mimi naamini KATIBA ilishatoa sifa za makamu wa rais kwa hiyo kwa mujibu wa waliomteua tunaamini walingatia sifa hizo
 
Washawishi mataga wenzako kudai katiba mpya
 
Naona hata hivyo waliwaza waza sana kuhusu hilo, more respect to Mabeho atakuwa alilisimamia hili.
 
Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya

Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa.

JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja wazito..waziri Wa sheria njoo hapa, Waziri wa Afya njoo hapa .. Tunasaini hapa hapa tunamalizana "

Miss you Daddy [emoji24][emoji24]
Asante mod kwa kutupumzishia hiki kituko
 
Back
Top Bottom