Ni wachezaji wawili tu wa Simba ndio wana zaidi ya 70% kupata tuzo za msimu huu

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Habarini za Jumapili iliyotukuka wakuu.

Nominees za Tuzo za Msimu huu zimeshatoka na Simba ni Moja ya Team Iliyotoa Nominees wengi kulinganisha na Team zingine ila ukiangalia ni Wachezaji wawili tu wa simba ndio wanaweza pata Tuzo na ndio wana Asilimia kubwa zaidi ya 70% ya Kupata.

Nao Ni
1. C.CHAMA
2. S.NTIBANZOKIZA

Hao wengine wameenda kama wasindikizaji tu nasema hayo kwa sababu kwenye hizo nafasi walizopo wachezaji wa Yanga waliopo walikua Bora zaidi yao.

Beki-Job
Kipa-Diarra
Mfungaji-Mayele
Chipukizi-Mzize

Kocha-NABI (Huyu ni kocha sio mchezaji) na Hatakuja pata Mpinzani hadi atakapo kuja ondoka Yanga.
 
Makolokolo mnaitwa huku kumpopoa Mchambuzi mahiri wa mpira wa TZ [emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ushaanza utabiri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya ngoja tuone
Nimesema mimi leo ila baada ya tuzo utaniambia wewe ulisema kweli First B Mi mda huo nitakua na tafuna karanga na pepsi juu
 
Back
Top Bottom