THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habarini za Jumapili iliyotukuka wakuu.
Nominees za Tuzo za Msimu huu zimeshatoka na Simba ni Moja ya Team Iliyotoa Nominees wengi kulinganisha na Team zingine ila ukiangalia ni Wachezaji wawili tu wa simba ndio wanaweza pata Tuzo na ndio wana Asilimia kubwa zaidi ya 70% ya Kupata.
Nao Ni
1. C.CHAMA
2. S.NTIBANZOKIZA
Hao wengine wameenda kama wasindikizaji tu nasema hayo kwa sababu kwenye hizo nafasi walizopo wachezaji wa Yanga waliopo walikua Bora zaidi yao.
Beki-Job
Kipa-Diarra
Mfungaji-Mayele
Chipukizi-Mzize
Kocha-NABI (Huyu ni kocha sio mchezaji) na Hatakuja pata Mpinzani hadi atakapo kuja ondoka Yanga.