THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Beki bora Inonga?Mchezaji bora-Ntibazonkiza
Beki bora- Inonga
Makolokolo mnaitwa huku kumpopoa Mchambuzi mahiri wa mpira wa TZ [emoji2]Habarini za Jumapili iliyotukuka wakuu.
Nominees za Tuzo za Msimu huu zimeshatoka na Simba ni Moja ya Team Iliyotoa Nominees wengi kulinganisha na Team zingine ila ukiangalia ni Wachezaji wawili tu wa simba ndio wanaweza pata Tuzo na ndio wana Asilimia kubwa zaidi ya 70% ya Kupata.
Nao Ni
1. C.CHAMA
2. S.NTIBANZOKIZA
Hao wengine wameenda kama wasindikizaji tu nasema hayo kwa sababu kwenye hizo nafasi walizopo wachezaji wa Yanga waliopo walikua Bora zaidi yao.
Beki-Job
Kipa-Diarra
Mfungaji-Mayele
Chipukizi-Mzize
Kocha-NABI (Huyu ni kocha sio mchezaji) na Hatakuja pata Mpinzani hadi atakapo kuja ondoka Yanga.
Wacha wee! Inonga teena! Basi wewe utakua na mahaba na InongaMchezaji bora-Ntibazonkiza
Beki bora- Inonga
Sasa unafananisha inonga na takataka gani nchi hii mkuu??acha masikhara basiBeki bora Inonga?
Wenyewe wanajua kikosi chao wafa maji sa Tuzo hizo zingine hapo wanasindikiza tuMakolokolo mnaitwa huku kumpopoa Mchambuzi mahiri wa mpira wa TZ [emoji2]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nimesema mimi leo ila baada ya tuzo utaniambia wewe ulisema kweli First B Mi mda huo nitakua na tafuna karanga na pepsi juuUshaanza utabiri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya ngoja tuone
Anamuweka mkata mauno na raundi hii watu sijui hua wanaangalia match kupitia SINEMA ZETUWacha wee! Inonga teena! Basi wewe utakua na mahaba na Inonga