Pre GE2025 Ni wajinga pekee ndiyo watazisifia drama za Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo mikutano ya hadhara si ndiyo watu walikuwa wanaililia miaka iliyopita au shida kafanya Makonda?

Hao wengine waliozurura nchi nzima wana mamlaka gani au unadhani chopa haina bajeti?

Hayo ndiyo matumizi ya ruzuku kwa vyama vya siasa!
 
Reactions: Tui
Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wivu. Kijana kawashika pabaya saanaaaaaaa hadi pumzi imewakata.
 
Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe alipozurura na chopa kanda yote ya ziwa kabla ya kuvurugwa na uteuzi wa Makonda alitatua Kero gani .....Ila chini ya mwamba tuvushe ni weupe Sana aisee
 
Wewe usiye mjinga wala kuwa na drama, ebu tuambie umewafanyia nini wananchi wa Tanzania? Ni wananchi wangapi uliowadondoshea angalau hilo tone la maji?
Tumia Akili kujenga hoja, kwa madaraka yapi na fedha ipi ya walipa kodi uliyompa ili awafanyie wananchi hicho unachokihoji? Watu wanajadili fedha ya wananchi anayoitumia Makonda kufanya drama tofauti kabisa na mipaka ya wajibu wake.
 
Drama na kiki zisizo na tija, Ni kero zipi anazowatatulia wananchi kwenye hii zungukazunguka yake?
 
Drama na kiki zisizo na tija, Ni kero zipi anazowatatulia wananchi kwenye hii zungukazunguka yake?
with negative mindset,
your are completely and totally blind politically speaking 🐒

never ever!
huwezi ona au kuelewa chochote with negativity 🐒 huwezi!!! na haiwezikani mpaka utakapopona hiyo homa mbaya sana ya negative mindset disorder.

Na sio kwa huyu mjamaa tu , hata kwa mambo mengine with negativity huwezi move on

ni mbaya sana aise
 
Aliyekuzaa kalamba garasha, ila ni maoni yangu mimi kama mimi yanaweza kuwa siyo sahihi kwa watu dizain ya Bashite
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So mkuu na wewe ni Bashite gang
 
Hao wanaomwona kuwa ni jembe ndio ninaowaita wapumbavu
Mpumbavu ni yule ambaye hajui na hajijui kuwa hajui,ambaye ni wewe,chuki imeharibu uoni wako,makonda acha apige kazi,wewe kwa ufinyu wa fikra zako,endelea kuona ni drama,na wewe uwezo wako wa kufikiri ndio umekomea hapo.
 
Mwenezi alipaswa kuwa mwenye akili hata kidogo, huyo bashite akili ziro ziro, hakuna Cha maana anachoongea, mzushi mzushi mno
 
Zaidi ni kuwa, ziara zake zinaonesha namna gani Taasisi zetu zilivyo weak.

Angetumia muda wake kujenga taasis imara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…