UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kama huwezi kusema ulichowafanyia watanzania ni bora ukae kimya.Kwa hiyo hii inabatilisha ujinga wa mhalifu anayestahili kuwa jela bashite!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huwezi kusema ulichowafanyia watanzania ni bora ukae kimya.Kwa hiyo hii inabatilisha ujinga wa mhalifu anayestahili kuwa jela bashite!?
Hata Brooo "P"?Hao wanaomwona kuwa ni jembe ndio ninaowaita wapumbavu
Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.[emoji419][emoji375]Narudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda".
Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.
Ujinga huu huwezi kuuona nchi yoyote isupokuwa Tanzania, nchi yenye sifa ya kuwa na watu wasiojua wanalolitaka.
Kukaa kimya Kwa maelekezo Yako!? Wewe mbona unatetea ujinga na hukai kimya!?Kama huwezi kusema ulichowafanyia watanzania ni bora ukae kimya.
Wivu. Kijana kawashika pabaya saanaaaaaaa hadi pumzi imewakata.Narudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda".
Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.
Ujinga huu huwezi kuuona nchi yoyote isupokuwa Tanzania, nchi yenye sifa ya kuwa na watu wasiojua wanalolitaka.
Umevuta sana bangi leo?Kwa hiyo hii inabatilisha ujinga wa mhalifu anayestahili kuwa jela bashite!?
Kama na yeye anaunga mkono namjumuisha katika kapu la wapumbavuHata Brooo "P"?
Mbowe alipozurura na chopa kanda yote ya ziwa kabla ya kuvurugwa na uteuzi wa Makonda alitatua Kero gani .....Ila chini ya mwamba tuvushe ni weupe Sana aiseeMtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Una hakika ulichopost kinaendana na mada ama umekurupuka tu kitandani na kumuota Mwamba?Mbowe alipozurura na chopa kanda yote ya ziwa kabla ya kuvurugwa na uteuzi wa Makonda alitatua Kero gani .....Ila chini ya mwamba tuvushe ni weupe Sana aisee
Tumia Akili kujenga hoja, kwa madaraka yapi na fedha ipi ya walipa kodi uliyompa ili awafanyie wananchi hicho unachokihoji? Watu wanajadili fedha ya wananchi anayoitumia Makonda kufanya drama tofauti kabisa na mipaka ya wajibu wake.Wewe usiye mjinga wala kuwa na drama, ebu tuambie umewafanyia nini wananchi wa Tanzania? Ni wananchi wangapi uliowadondoshea angalau hilo tone la maji?
Drama na kiki zisizo na tija, Ni kero zipi anazowatatulia wananchi kwenye hii zungukazunguka yake?waerevu wamezidiwa mambo mengi sana na huyu mjamaa,
na wanaumia kweli kweli [emoji1787]kijana akichanja mbuga,
na kwa ubunifu wa kiwango cha juu sana zaid yao, kijana amekua
akitatua kero za wananchi, akiagiza utekelezaji na ukamilishwaji wa miradi iliyosimama, akihoji na kuonyesha njia ya kutatua changamoto mbalimbali za kisekta maeneo mbalimbali nchini na hili linawakera zaid waerevu dah [emoji205]
kama una gubu huwezi mpenda mtu wa aina hii hata kidogo [emoji851]
with negative mindset,Drama na kiki zisizo na tija, Ni kero zipi anazowatatulia wananchi kwenye hii zungukazunguka yake?
Aliyekuzaa kalamba garasha, ila ni maoni yangu mimi kama mimi yanaweza kuwa siyo sahihi kwa watu dizain ya BashiteMakonda ndiyo mdomo na macho ya chama ni halali kwake kupita mitaani kuona ilani inatekelezwa?, na wananchi wanauonaje utekelezaji wa serekali yao,ikiwamo kuhoji pale palipokwama alimradi watanzania kero zao zinaondoka,kwa utaratibu wa Makonda The failure ministries must cry-out .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waerevu wamezidiwa mambo mengi sana na huyu mjamaa,
na wanaumia kweli kweli [emoji1787]kijana akichanja mbuga,
na kwa ubunifu wa kiwango cha juu sana zaid yao, kijana amekua
akitatua kero za wananchi, akiagiza utekelezaji na ukamilishwaji wa miradi iliyosimama, akihoji na kuonyesha njia ya kutatua changamoto mbalimbali za kisekta maeneo mbalimbali nchini na hili linawakera zaid waerevu dah [emoji205]
kama una gubu huwezi mpenda mtu wa aina hii hata kidogo [emoji851]
Mpumbavu ni yule ambaye hajui na hajijui kuwa hajui,ambaye ni wewe,chuki imeharibu uoni wako,makonda acha apige kazi,wewe kwa ufinyu wa fikra zako,endelea kuona ni drama,na wewe uwezo wako wa kufikiri ndio umekomea hapo.Hao wanaomwona kuwa ni jembe ndio ninaowaita wapumbavu
Mwenezi alipaswa kuwa mwenye akili hata kidogo, huyo bashite akili ziro ziro, hakuna Cha maana anachoongea, mzushi mzushi mnoNarudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda".
Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.
Ujinga huu huwezi kuuona nchi yoyote isupokuwa Tanzania, nchi yenye sifa ya kuwa na watu wasiojua wanalolitaka.
Zaidi ni kuwa, ziara zake zinaonesha namna gani Taasisi zetu zilivyo weak.Narudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda".