Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Toka dunia iumbwe lini ufisadi ulitokomezwa?!!!!Tuchangie kwa uwazi bila unafiki. Eti Ile CCM ya kuelekea 2015 iliyochukiwa hadi kulinganishwa na Jiwe kwenye Uchaguzi kwa rushwa na ufisadi. Ile CCM iliyozaa Mawaziri mizigo na kuokolewa na Nape na Kinana na CCM ya Leo ya DP World ipi inaongoza kwa ufisadi?
Tujadili kwa hoja ili mwisho tuamue kukibakisha Ikulu au kiende likizo. Karibu.
Ufisadi ulikuwepo kipindi cha awamu ya kwanza ya utawala wa taifa hili....ulikuwepo Jana na utaendelea kuwepo....
Kazi ya serikali adhimu ya CCM ni kupambana nao na kuupunguza tu....
Akitokea mgombea urais atakayesema anakwenda kuufuta UFISADI na kubaki historia basi huyo ni wa KUZOMEWA na akishuka jukwaani apelekwe kutibiwa pale WODI NAMBARI 14 MIREMBE HOSPITALI......
#SiempreJMT[emoji120]