Ni wakati gani ndani ya CCM kulikosekana Ufisadi na mafisadi?

Toka dunia iumbwe lini ufisadi ulitokomezwa?!!!!

Ufisadi ulikuwepo kipindi cha awamu ya kwanza ya utawala wa taifa hili....ulikuwepo Jana na utaendelea kuwepo....

Kazi ya serikali adhimu ya CCM ni kupambana nao na kuupunguza tu....

Akitokea mgombea urais atakayesema anakwenda kuufuta UFISADI na kubaki historia basi huyo ni wa KUZOMEWA na akishuka jukwaani apelekwe kutibiwa pale WODI NAMBARI 14 MIREMBE HOSPITALI......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Hakuna hiyo kitu na kamwe hakutakua na mpinga ufisadi ndan ya CCM!! NB; Hata uvccm wanatega tu waje wapate nafas ni kuiba kadiri uwezavyo!!
 
Samia akivunje hichi Chama cha CCM ili Nchi ibaki salama.
 
Huwezi tenganisha CCM na ufisadi🤣maza kajifunza hadi kanogewa aamua kuwa highest bidder wa bandari ya Tanganyika.
 
Niruhusu nipite kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…