Lucas ,kuanzisha mada ambayo zaidi ya 80% ya wachangiaji wanamshanbulia kiongozi wetu,Tangia lini wewe umekuwa na upendo na RAIS wetu? Wewe si muda mwingi unamkashifu Rais?Embu acha unafiki wako mnafiki mkubwa wewe
Huoni tatizo hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lucas ,kuanzisha mada ambayo zaidi ya 80% ya wachangiaji wanamshanbulia kiongozi wetu,Tangia lini wewe umekuwa na upendo na RAIS wetu? Wewe si muda mwingi unamkashifu Rais?Embu acha unafiki wako mnafiki mkubwa wewe
Wewe pimbi tofautisha kukosoa na kukashifu. Wewe unamuwega huyo Rais kwenye daraja la Mungu kuwa hakosei,wacha upuuzi huo na hata yeye mwenyewe hajakataa kukosolewa,huu uchawa umekutoa akili sana fala wewe.Tangia lini wewe umekuwa na upendo na RAIS wetu? Wewe si muda mwingi unamkashifu Rais?Embu acha unafiki wako mnafiki mkubwa wewe
Fikiria kama baba yako na mama yako wangekuwa wanaupitia huu uzi!.siyo kila mtu anatumwa kama utumwavyo wewe.
Wangeupitia uzi huu wangeunga mkono kwa namna wanavyomkubali ,kumpenda na kumuunga mkono Rais Samia.kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka na wenye kugusa maisha ya watanzaniaFikiria kama baba yako na mama yako wangekuwa wanaupitia huu uzi!
Fikiria kama mkeo au hawara zako wangekuwa wanaupitia uzi wako huu!
Fikiria kama wanao wa kuzaa na wa kurithi wangekuwa wanaupitia uzi huu!
Fikiria kama ndugu zako na majirani zako wangekuwa wanaupitia uzi huu!
Fikiria kama chawa wenzako popote walipo wangekuwa wanaupitia uzi wako huu...
...Kama bado una kachembe tu ka akili, jaribu kujipa majibu kwa yote hapo juu.
Na kosa hata la kukujibu sijui wanao wakija kuona hii post Yako watakuchuliajeNdugu zangu Watanzania,
Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hii ni katika kuweka historia itakayo dumu na kukumbukwa vizazi na vizazi na kuwa Sehemu ya historia ya Taifa letu. Rais Samia kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Mwenyewe ameweka historia ya kipekee kabisa kwa kuwa Mwanamke wa Kwanza kushika nafasi ya Urais hapa Nchini na katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Rais Samia ni Mwanamke na Mama aliyelivusha Taifa katika wakati mgumu sana katika Historia ya Taifa letu.ikumbukwe kuwa ameshika Nchi katika kipindi ambacho Uchumi wa Dunia ulikuwa umetikisika kuwahi kushuhudiwa katika Historia ya Dunia ukiachana na ule uliotokea miaka ya 1930-1945 ambao ulisababishwa na mambo mbalimbali kama tunavyojifunza katika Historia.
Rais Samia amepokea nchi wakati Dunia ikishuhudia viwanda vingi vikiwa vimesimamisha uzalishaji ,ukosefu mkubwa wa ajira,mdororo wa kiuchumi kutokana na kupungua kwa shughuli za kiuchumi na uzalishaji,kupanda au mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa muhimu kama vile mafuta ya petroli na dizeli ambavyo ni injini ya uchumi,kupanda kwa bei ya Mbolea,mzunguko mdogo wa pesa mitaani na mengine mengi sana.
Ambavyo hivyo vyote vilichochewa na ugonjwa wa COVID-19 pamoja na vita vya ukrein.lakini kwa umadhubuti,uhodari, uimara ,ushupavu ,akili kubwa , maono makubwa na Uweza wa mwenyezi Mungu tulishuhudia Mama huyu shupavu na madhubuti akilivusha Taifa kwa kuchukua hatua mbalimbali. kama vile kutoa Ruzuku ya Billion mia moja kila mwezi katika nishati ya mafuta,kutoa Ruzuku ya Billion mia mbili hamsini katika mbolea hali iliyoshuhudia bidhaa hizo zikishuka bei.
Ndio Maana tuliona na kushuhudia wakenya wakivuka mpaka na kuingia Tanzania kununua mafuta kutokana na bei kuwa ndogo Nchini ukilinganisha na Nchini kwao.hali ya kiuchumi Nchini ilikuwa nzuri ukilinganisha na nchi yoyote ile hapa barani Afrika.lakini wakati akifanya haya Dunia ilishuhudia Mama huyu aliyeinuliwa na kupewa kibali na Mungu akitoa maelfu ya ajira kwa vijana,kujenga miundombinu,kusogeza huduma karibu ya wananchi,kuongeza bajeti katika kila wizara kama ambavyo tuliona katika kilimo kuongeza bajeti kutoka Billion 250 hadi Billion 970.
Tuliona akifanya juhudi kubwa ya kufungua nchi yetu ikiwa ni pamoja na kuvutia wawekezaji pamoja na watalii kupitia royal tour iliyopelekea ongezeko la watalii kufikia Millioni 1.8 kwa mwaka.tuliona bei ya mazao Kama vile korosho ikipaa bei tena hasa baada ya kufanya ziara rasmi Nchini India na kukutana na makampuni na wafanyabiashara wa korosho.
Hayo na mengine mengi sana yalifanya Taifa na nchi yetu kusalia imara na yenye utulivu wa hali ya juu katikati ya hali mbaya ya kiuchumi iliyoikumba Dunia nzima.lakini sisi tukawa katika kisiwa chetu cha utulivu na ustahimilivu wa kiuchumi chini ya Jasusi wa uchumi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Najuwa wenye upeo mdogo wataanza kujadili habari za gharama za kuchapisha pesa hizo,na wengine watasema siyo mahitaji ya watanzania.lakini niwaambieni tu kuwa faida aliyoliletea Taifa letu ni kubwa sana.asingetumia akili tungekuwa tumesambaratika kama Taifa.hali ya umaskini na uchumi ingekuwa mbaya sana hapa nchini.na tusingeona kuendelea kwa miradi mikubwa kama Bwawa la Mwalimu Nyerere lenye kutupatia megawati 2115 wala kuzinduliwa kwa reli ya SGR na usafiri huo wa treni ya umeme.
Tumpeni heshima yake huyu Mama ,tuache wivu na chuki binafsi,tuache ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila,ukanda na jinsia .Mama yetu anastahili kupewa heshima hiyo ya kuchapisha noti zenye sura na picha yake.View attachment 3136898
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
gentleman,nasoma dozi ulizokabidhiwa. vipi nduguyo Tlaatlaah naye hajabubujikwa kwa machozi japo ya kiuongo uongo?
Huyu kibwengo amejitoa ufahamu hana tofauti na changudoa kwani yuko tayari kufanya au kufanywa chochote ili mradi mkono uende kinywani.Fikiria kama baba yako na mama yako wangekuwa wanaupitia huu uzi!
Fikiria kama mkeo au hawara zako wangekuwa wanaupitia uzi wako huu!
Fikiria kama wanao wa kuzaa na wa kurithi wangekuwa wanaupitia uzi huu!
Fikiria kama ndugu zako na majirani zako wangekuwa wanaupitia uzi huu!
Fikiria kama chawa wenzako popote walipo wangekuwa wanaupitia uzi wako huu...
...Kama bado una kachembe tu ka akili, jaribu kujipa majibu kwa yote hapo juu.
Nimesoma japo sijaimaliza yote.maana nimejikita katika maswali ya mh Dkt Haji na kusoma vizuri majibu ya naibu waziri na namna alivyo jibu.ndio maana hata mimi nimesema BOT ambapo nashukuru Mheshimiwa naibu waziri ametoa utaratibu kuwa jukumu ni la gavana wa Benki kuu na kupata kibali kutoka kwa waziri wa Fedha.Pitia hii kitu halafu tengeneza hoja yako upya!
Ina maana nao ni matutusa kama wewe,umeamua kuwatusi hadharani.Wangeupitia uzi huu wangeunga mkono kwa namna wanavyomkubali ,kumpenda na kumuunga mkono Rais Samia.kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka na wenye kugusa maisha ya watanzania
Kama umeielewa hii PDF basi umepata jibuNimesoma hapo sijaimaliza yote.maana nimejikita katika maswali ya mh Dkt Haji na kusema vizuri majibu ya naibu waziri na namna alivyo jibu.ndio maana hata mimi nimesema BOT ambapo nashukuru Mheshimiwa naibu waziri ametoa utaratibu kuwa jukumu ni la gavana wa Benki kuu na kupata kibali kutoka kwa waziri wa Fedha.
Ambapo naamini hilo halina shida kwa sasa katika kufanikisha jambo hilo la kuweka historia kwa Taifa letu ya kuwa na noti yenye picha na sura ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia
Nimeielewa na hata mwanzoni ndio maana nilisema BOT wafanye kazi hiyo.kwa hiyo naamini Mheshimiwa Tutuba na Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba watafanya kazi hiyo ya kukata kiu ya mamilioni ya watanzania kwa kuleta na kuchapisha pesa zenye picha na sura ya Mama yetu MpendwaKama umeielewa hii PDF basi umepata jibu
Acha jazba KUBWA JINGA, POPOMA 🤣🤣Acha utoto wako hapa wewe
KABISA chura Kiziwi ana dharau sana!!!Tena angejua anavyowadharau watanganyika hasa wakiwa Wagalatia asingejipendekeza hivi.
I wish azingatie hii message. Hawa ndio wanamharibia kabisaaa Mh Rais kwa wananchi. Wanafanya watu wanajaza hasira bila sababu za msingi.Hapana, nakupinga kwa hoja, acha ujinga, Marais wote waliopita kuanzia Mkapa, Kikwete, Magufuli, wote hawakuweka sura zao katika noti, na sio hawakufanya kazi kubwa, acha kujitungia mambo yako hata Mh. Rais akisoma habari hizi anachukia
Wewe unakaa kwenye keyboard, mawazo yako yasiyo na mantiki unapost post tu, achana na hayo mawazo potofu na unamharibia Mh. Rais kwa kutokujua, nani kalwambia Mh. Rais Samia anataka sura yake iwepo katika noti? Hivi ukiulizwa unaweza jibu? Unajitungia mambo tu hujui madhara yake kwa jamii, unamchafulia sifa za Mh. Rais bila wewe kujijua..!!
Zero brain 🧠 kutoka Mbeya, unawavua nguo watu wenye heshima na weledi kutoka Mbeya!!Acha utoto wako hapa wewe