Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

Tangia lini wewe umekuwa na upendo na RAIS wetu? Wewe si muda mwingi unamkashifu Rais?Embu acha unafiki wako mnafiki mkubwa wewe
Wewe pimbi tofautisha kukosoa na kukashifu. Wewe unamuwega huyo Rais kwenye daraja la Mungu kuwa hakosei,wacha upuuzi huo na hata yeye mwenyewe hajakataa kukosolewa,huu uchawa umekutoa akili sana fala wewe.
 
.siyo kila mtu anatumwa kama utumwavyo wewe.
Fikiria kama baba yako na mama yako wangekuwa wanaupitia huu uzi!
Fikiria kama mkeo au hawara zako wangekuwa wanaupitia uzi wako huu!
Fikiria kama wanao wa kuzaa na wa kurithi wangekuwa wanaupitia uzi huu!
Fikiria kama ndugu zako na majirani zako wangekuwa wanaupitia uzi huu!
Fikiria kama marafiki na chawa wenzako wangekuwa wanaupitia uzi wako huu...

...Kama bado una kachembe tu ka akili, jaribu kujipa majibu kwa yote hapo juu.
 
Wangeupitia uzi huu wangeunga mkono kwa namna wanavyomkubali ,kumpenda na kumuunga mkono Rais Samia.kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka na wenye kugusa maisha ya watanzania
 
Na kosa hata la kukujibu sijui wanao wakija kuona hii post Yako watakuchuliaje
 
nasoma dozi ulizokabidhiwa. vipi nduguyo Tlaatlaah naye hajabubujikwa kwa machozi japo ya kiuongo uongo?
gentleman,
umepata mfadhaiko na kiwewe baada ya mapendekezo ya mTanzania huyo muungwana, kwamba picha ya Rais na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan iwekwe katika picha kwenye fedha ya noti na sarafu ya Tanzania kwa maslahi mapana ya Taifa na kwa manufaa ya vizazi vijavo, right?🀣

au wew umekasrikia nini gentleman πŸ’
 
Huyu kibwengo amejitoa ufahamu hana tofauti na changudoa kwani yuko tayari kufanya au kufanywa chochote ili mradi mkono uende kinywani.
 
Pitia hii kitu halafu tengeneza hoja yako upya!
Nimesoma japo sijaimaliza yote.maana nimejikita katika maswali ya mh Dkt Haji na kusoma vizuri majibu ya naibu waziri na namna alivyo jibu.ndio maana hata mimi nimesema BOT ambapo nashukuru Mheshimiwa naibu waziri ametoa utaratibu kuwa jukumu ni la gavana wa Benki kuu na kupata kibali kutoka kwa waziri wa Fedha.

Ambapo naamini hilo halina shida kwa sasa katika kufanikisha jambo hilo la kuweka historia kwa Taifa letu ya kuwa na noti yenye picha na sura ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia
 
Kama umeielewa hii PDF basi umepata jibu
 
Kama umeielewa hii PDF basi umepata jibu
Nimeielewa na hata mwanzoni ndio maana nilisema BOT wafanye kazi hiyo.kwa hiyo naamini Mheshimiwa Tutuba na Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba watafanya kazi hiyo ya kukata kiu ya mamilioni ya watanzania kwa kuleta na kuchapisha pesa zenye picha na sura ya Mama yetu Mpendwa
 
Wachapishe Wasichapishe mama kashafanya Makubwa na kilichobaki sasa ni kumwombea afya njema/mema na Kazi ikaendelee πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽
 
Tuseme uko sahihi mkuu Lukasi Mwashambwa lakin tujukumbushe na kujiuliza yafuatayo
1.Saivi tuko katika zama za usawa kati ya me na ke sasa kwanini tusione kuwa raisi mwanamke ni sawa tuu tulivyokuwa na watangulizi wake (wakiume) maana raisi ni raisi haijalishii jinsia gani.Au wewe huamini katika usawa katika nyanja za kiuongozi kiasi kwamba unatamani tuache kumbukumbu kwenye shilingi! maana huoni kama jambo la kawaida?
2.Imekuwa ni desturi ya kuamini kwamba raisi ni nusu malaika hali ambayo imevuma saana hasa kuanzia awamu ya tano na pia tunaamini pia hata viongoz wenyew hawapendi hivyo.Sasa huoni kama kila raisi atakuwa anaombwa kuweka sura yake kwenye shilingi kwakuwa tutaona kama ni malaika mpya kuliko watangulizi wake!?.
3.Je,mchakato wa kutengeneza shilingi mpya yenye sura ya raisi itagharimu kiasi gani cha fedha!? na taifa litanufaika vipi kiuchumi likilfanya hivyo na litapata hasara gani lisipofanya hivyo unavyopendekeza!?.
4.Kwanin kumbukumbu ya raisi isiwe katika taasisi na miundo mbinu inayojengwa kila siku kama ilivyo uwanja wa mkapa,Mwinyi,sokoine n.k barabara ya Samora,mwinyi,lumumba,mandela,nujona n.k Vyuo,shule,hosptali n.k badala yake iwe kwenye shilingi?
5.Umedokeza mpango wa Ureno na CR7,yes,hapo sawa!lakin kwanini tusijifunze kwa dollar ya U.S.A ile picha ya muhenga wao ya miaka nenda rud!?.
MAONI YANGU:Kila raisi kwa vyovyote lazima ataacha alama isiyofutka katika taifa na mifano tunayo kwa walio tangulia kabla ya Mh. SSH,anaweza laumiwa akiwa madarakani ndiyo, lakini akimaliza lazima kuna mazuri yake watu watayamisi kwahiyo sio lazima kumweka kwenye Shilingi.
 
I wish azingatie hii message. Hawa ndio wanamharibia kabisaaa Mh Rais kwa wananchi. Wanafanya watu wanajaza hasira bila sababu za msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…