Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

Aliona wapi duniani Rais wa Kidemokrasia akiwa amevaa kombati. Hata Nyerere ,Mwinyi,Mkapa na Kikwete ambaye alikua mwanajeshi halisi hajawahi kuvaa Kombati za kijeshi mpaka anatoka madarakani.
Au kuna mapinduzi yalifanyika ya kumweka madarakani huyo mmiliki wa chawa duniani?

Yaani kila Rais akija akaongeza tozo na mikopo na kutoa rushwa za uchaguzi basi pesa ibadilishwe iwekwe sura yake Taifa lipate hasara kwa sababu ya mtu mmoja bilionea aliyejilimbilkizia mali mpaka vijukuu vya karne ijayo .
 
Wewe jamaa aisee, tumbili hana hamu na wewe, kakupa pesa zake ukageuka chawa mwaribifu. Yaani wanaokutuma akili zao ni sawa na zako
 
Ila wew jamaa wazazi wako wana hasara kubwa, bora mzee angewaga chooni kuliko kituko wewe
 
Hivi shetani pia huwa analeta watu wake duniani! Wewe na Lucas ni kizazi cha laana.
 


"Masela wakiniomba ten nawakatia BLUE" - Babyloon Bizyy Byser - MR BLUE

Hilo ndiyo Blue LENYEWE lilitokuwa linatumika kabla ya hii 👎👎

 
Hivi shetani pia huwa analeta watu wake duniani! Wewe na Lucas ni kizazi cha laana.
Wewe kizazi Cha baraka Tuoneshe 😁😁😁😁

Bahati mbaya chuki zako Wala haziwezi badili kitu ndio uzuri wake Sasa na mwisho wa siku utajiona huna maana
 
Wewe pimbi tofautisha kukosoa na kukashifu. Wewe unamuwega huyo Rais kwenye daraja la Mungu kuwa hakosei,wacha upuuzi huo na hata yeye mwenyewe hajakataa kukosolewa,huu uchawa umekutoa akili sana fala wewe.
Umemjibu kistaarabi sana. Umebana maneno.
 
Wewe ni punguani wahed kalifanyia taifa nini?shida ya huko ccm hakuna anaemiliki akili hata moja wote ni punguani...nchi imekua ya mama na wanae,mkwe,familia wao ni kashfa tu mara mtoto kaenda kudalali ndege,
Ushauri wangu shilingi moja irudishwe awekewe picha yake
 

Attachments

  • IMG_20241029_160530.jpg
    138.3 KB · Views: 2
Acha upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…