Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

Una utindio wa ubongo wewe.badala yakuwaza mambo ya maana unawaza ujinga.picha inatusaidia nini sisi.nchi yenyewe uchumi wa tozo,misaada na mikopo ya wahisani.badala mboreshe hali za wananchi mnawaza picha.Tena picha kwenye sarafu isiyo na thaman yoyote ya maana.chawa bure kabisa wewe.
 
Ukisikia ushauri wa hovyo kabisa, ndiyo huu!!

Kama mtu huna uelewa, jielemishe kwanza kabla ya kuleta mada ya kijinga kama hii!! Jiulize kwanza, ni nchi gani ina sarafu zilizojaa picha za marais mbalimbali?

Hata kama ingekuwa ni kweli Rais Samia amefanya vizuri kwenye upngozi wake (which is not true), bado hakuna kabisa hiyo haja yakuweka picha yake kwenye sarafu. Itakuwa ni nchi ya namna gani, endapo kila Rais anayefanya vizuri, picha yake uwekwe kwenye pesa?

Kama tungekuwa tupo makini, kila uchaguzi tunatakiwa kumpata Rais atakayefanya vizuri, na ikiwa hivyo, kwa ushauri wa huyu Lucas, ina maana kila baada ya miaka 10, tuwe na noti mpya yenye picha ya Rais mpya!! Hiyo itakuwa nchi, au danguro??

Pesa kuwa na sura ya kiongozi mkuu wa kwanza wa Taifa, inatosha sana.
 
nimesema kuwa ukiachilia mbali kazi nzuri iliyofanywa na Mama yetu Mpendwa lakini pia Rais Samia ndiye Rais wa kwanza mwanamke katika Historia ya Taifa letu kwa hiyo anastahili kabisa heshima hiyo.
 
Huna akili mamdogo
 
Hali za maisha ya watanzania zinaendelea kuboreshwa kila siku na ndio maana unaona hali nzuri kwa watanzania,huku huduma za kijamii zikisogezwa karibu na watanzania,kuboresha maisha ya watumishi wa umma,kuweka sera nzuri zenye kuvutia wawekezaji ili kuzalisha fursa za ajira kwa vijana na kuongeza wigo wa mapato.
 
Jibu swali nililokuuliza.Kuna Rais wa Dunia? Kuna nchi inaitwa Dunia? Nimesema Tanzania na siyo Dunia ,nimesema pesa ya Tanzania na siyo pesa ya nchi nyingine au jumuiya nyingine.uwe una fikiria kabla ya kuandika
 
Naomba unisaidie kuniunganisha na p.diddy atuchangie madawati ya shule
 
“Black people cannot rule themselves because they don’t have the brain and mental capacity to govern a society … Give them guns, they would kill themselves; Give them power, they will steal all the government money; Give them independence and democracy; they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings, and wars!”
Ulikuwa sahihi kabsa Pieter Willem Botha
 
Rudi toka mwanzo wa mada yako, pitia michango ya wote, jipime mwenyewe uweze kujua nafasi yako katika jamii ya JF. Kama utashindwa kuipata picha hiyo ya wazi, hayupo wa kukusaidia, bakia hivyo hivyo.
Umewahi kusoma habari za Galileo? Kama umesoma habari zake basi utaelewa.ukweli ni ukweli tu hata ukipingwa na watu billion moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…