Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

Hakila. Mama deserves sana. Ameipaisha nchi kila kona. Biashara zimeshamiri. Uwekezaji kila kona
 
Yani chawa kapoteza muda kibao kuandika ujinga
 


Hahaha we jamaa bwana dah
 
Jibu swali nililokuuliza.Kuna Rais wa Dunia? Kuna nchi inaitwa Dunia? Nimesema Tanzania na siyo Dunia ,nimesema pesa ya Tanzania na siyo pesa ya nchi nyingine au jumuiya nyingine.uwe una fikiria kabla ya kuandika
Acha upumbavu.
Umeambiwa si mwanamke peke yake aliyewahi kuwa Rais Duniani.
Ikiwa na maana si Tanzania pekee kutawala Rais mwanamke.

Unaonekana ulikuwa na mfume dume uliokuathiri ubongo wako hata ukadhani kazi ya Urais ni ya wanaume pekee.

Na kwa sababu imekuwa ni ngeni kwako umeamua kuleta ujinga wako ukifikiri wote akili ziko kama zako.

Kwani Tanzania sio sehemu ya Dunia?
Zinapotolewa mifano nchi zinaongoza kiuchumi/kiumasikini Duniani unatafsiri vipi kwa akili yako?
 
Nimeelezea mengi zaidi ya maendeleo.ndiye mwanamke wa kwanza kushika Urais hapa Nchini.niambie ni Mwanamke yupi mwingine aliyeshika Urais hapa Nchini zaidi ya Rais Samia?
Kwani kuwa mwanamke ni ulemavu, kiasi kwamba yeye kuwa Rais mwanamke iwe ni ajabu?

Tangu kale hata kabla ya masiha, Dunia ilikwishawahi kuwa na watawala wanawake. Tena Dunia imewahi kuwa na wanawake waliowahi kuitikisa Duniani kwa utawala wenye maono na matendo makubwa kwa mataifa yao, siyo kama huyu wa kwetu mwenye Urais wa ajali. Wapo wanawake shupavu waliopata Urais kwa stahili na kupambanishwa, na wakawashinda washindani wao. Wafikirie wa akina mama viongozi wafuata: Cleopatra, Elizabeth I, Elen Sirleaf, Indira Ghandi, Margret Thatcher, Angela Mickel, Girgia Meloni, Ursula Leyen, Teresa May, n.k.
 
Mbona unaonyesha ufinyu na umbumbumbu kiasi hicho? Mimi nazungumzia Tanzania halafu wewe unaleta porojo zako zisizohusiana na hoja yangu.

Sasa nataka unijibu kwa ufupi tangia tumepata uhuru ni Rais yupi Mwanamke amewahi kuongoza Taifa letu Zaidi ya Rais Samia? Jibu swali kwa ufupi na moja kwa moja bila maelezo
 
Uteuzi utausikia katika vyombo vya habari lakini kamwe huwezi kupata!
 
Benjamin,

Huyu hana hata hadhi ya kufikia kupigiwa kura. Ukiyaona maji, halafu mjinga mmoja anasema kuwa ni oil, unaweza kupoteza hata muda wa kusema tutafute watu wapige kura kuwa haya ni maji na siyo oil? Lucas ni case inayojulikana.
Umemaliza kila kitu ni kichaa fulani
 
Nikweli,ukizingatia itachukua miaka mingi tena kuja kupata Rais mwanamke
 
Mie pia natamani noti ZA shilkngi 10,000 zifutwe kwakuwa utamaduni Wa kutembea Na fedha unaloweka sasa. Pia, mobile banking Na lipa zinasaidia.
 
Huo umwanamke wake ni ajabu katika Ulimwengu?

Na siku tukimpata msafwa kuwa Rais, utasema sura yake uwekwe kwenye noti kwa sababu hakuna msafwa aliyewahi kuwa Rais kabla yake!! Hizo ni akili au matope?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…