Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

Ni sahihi kabisa na sababu zipo,mfano

1.Rais wa kwanza Mwanamke Tanzania

2.Mkuu wa Nchi pekee Mwanamke Afrika

3.Rais namba 2 pekee kutoka Zanzibar Toka Muungano.

4.Mwanamageuzi Mashuhuri wa masuala ya Uchumi, biashara na uwekezaji

5.Champion wa Masuala ya usawa wa Kijinsia na Women empowerment

6.Champion wa Nishati safi ya Kupikia Afrika.

Kimsingi sababu ni nyingi na Zina msingi na mashiko.
 
Wapi nimeandika namchukia? Unazidi kuandika upumbavu...
Kwani lazima uandike Kwa maneno? Kauli zako vio comments zinakutanabaisha ,mara zote huanga hoja isipokuwa matusi na vioja.

Chuki sio tuu haitakupa matamanio Yako Bali itakuangamiza maziam na unaemchukia kizazi chako kitamuina na kunufaika nae.
 
Nilidhani umeanza kupona kumbe bado dishi limeyumba channels hazishiki.
 
Kwani lazima uandike Kwa maneno? Kauli zako vio comments zinakutanabaisha ,mara zote huanga hoja isipokuwa matusi na vioja.

Chuki sio tuu haitakupa matamanio Yako Bali itakuangamiza maziam na unaemchukia kizazi chako kitamuina na kunufaika nae.
..mbav kabisa! Wangapi unawachukia na mambo yako yanaenda..
 
Hata choko kama wewe inabidi ukumbukwe
 
The environment is well prepared ..we can proceed with our plan! We have point to justify our action … we will say it was peoples or community opinions πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Wewe hunaga akili wala uwezo wa kujadili hoja na ndio maana ni mtu wa kuropoka ropoka tu kama mlevi wa gongo
Ulitakiwa utukanwe unyamaze, ndiyo hekima.

Thread nzima umeanzisha, hakuna mtu anayekuunga mkono, elewa kuwa wewe ndiye tatizo.

Kujaribu kushindana na umma kwa maneno ama kwa nguvu zako ni sawa na kutaka kuzuia mafuriko kwa mikono yako, ambao ni upumbaf.
 
Itawezekana tu maana watanzania wanahitaji hivyo kuweka historia kwa vizazi vijavyo
Jitahidi kuwa msikivu basi.
Ukiona unapingwa na asilimia kubwa ya wachangia mada maana yake ni kwamba hoja yako haikubaliki.

Wahenga walisema "Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.."

Unapolazimisha jambo la hovyo likubalike kinyume na maoni ya wengi unageuka kero !!!
 
Soma andiko ndio utaelewa vizuri na hiyo akili yako ndogo.unafahau Ureno ipo kwenye mpango wa kutoa shilingi itakayo kuwa na picha ya Christiano Ronaldo katika kutambua mchango wake kwa Taifa lake?
Nitamshangaa NGOSWE2 akipoteza muda wake kusoma hiyo pumba yako mwanzo mwisho.
 
Kwanini unapenda sana ukabila? Nani na tangia lini ukaambiwa akina Mwashambwa wakawa wandali? Mwashambwa gani uliyemuona hapa Nchini ambaye ni Mndali? Ndio maana nasema wewe huna akili zaidi ya kuropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongo
Duuu!! Wewe huna akili unayeleta Maandiko yasiyo na kichwa wala miguu!!!
Kazi ya kujikomba na kujipendekeza, Narudia hutapata TEUZI unapoteza muda wako tuu!!

Sijali sana kabila, uwe Mndali, mmalila, mnyiha, msafwa but acha unafiki dogo na Maandiko ya kipuuzi ya kila siku!!

POPOMA mkubwa wewe πŸ€”πŸ€”πŸ€£πŸ€£
 
Stupid hungry African skin
 
"Silaha ya mjinga/mtu mwenye uwezo mdogo ni kujipendekeza" Gwajima.

Nipe sababu tatu za msingi kwanini tusiwaweke JK, BM, JPM?

Raisi inabidi awe macho sana na watu wa aina yako.
 
Tutajuta watanzania kuufanya urais wa nchi ni kitu chepesi (kawaida) kwa kuweka mifumo ya kumpata kiongozi wetu mkuu wa nchi kuwa weak (dhaifu) kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…