Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

Duuu!! Wewe huna akili unayeleta Maandiko yasiyo na kichwa wala miguu!!!
Kazi ya kujikomba na kujipendekeza, Narudia hutapata TEUZI unapoteza muda wako tuu!!

Sijali sana kabila, uwe Mndali, mmalila, mnyiha, msafwa but acha unafiki dogo na Maandiko ya kipuuzi ya kila siku!!

POPOMA mkubwa wewe 🤔🤔🤣🤣
Acha utoto wako hapa wewe
 
Jitahidi kuwa msikivu basi.
Ukiona unapingwa na asilimia kubwa ya wachangia mada maana yake ni kwamba hoja yako haikubaliki.

Wahenga walisema "Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.."

Unapolazimisha jambo la hovyo likubalike kinyume na maoni ya wengi unageuka kero !!!
Hata wajinga nao wana sauti kwa hiyo ukitaka usikilize kila sauti utakuwa nawe ni mjinga zaidi ya hao wajinga.Kasome habari za Galileo
 
Hapana, nakupinga kwa hoja, acha ujinga, Marais wote waliopita kuanzia Mkapa, Kikwete, Magufuli, wote hawakuweka sura zao katika noti, na sio hawakufanya kazi kubwa, acha kujitungia mambo yako hata Mh. Rais akisoma habari hizi anachukia

Wewe unakaa kwenye keyboard, mawazo yako yasiyo na mantiki unapost post tu, achana na hayo mawazo potofu na unamharibia Mh. Rais kwa kutokujua, nani kalwambia Mh. Rais Samia anataka sura yake iwepo katika noti? Hivi ukiulizwa unaweza jibu? Unajitungia mambo tu hujui madhara yake kwa jamii, unamchafulia sifa za Mh. Rais bila wewe kujijua..!!
Hakuna vijana wajinga na machawa kama sisi vijana wa tz ,hatuwez mwambie mtu hapa umekosea hat Kama kwel kakosea ,na hii tabia ilianzishwa na viongoz wetu wa ccm wakambukiza uvccm.yaan hata kiongoz mkubwa akakosea au akatukana hao vijana wote lazma wamtukuze Kwa kumsifia ,hata akawajambia mdomoni watacheka na kusema ushuzi wa kiongoz ni pafyum inayowasadia sana,.. sjasema vijana tuanze kua wakaid ila namanisha tujielewe na kukemea uovu hata kama upo kwenye nguo zetu tulizo vaa,,,
 
Akili za Lumumba bhana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Kaandikaaaa kapeleka waipitieeee. Hatimaye " great thinker" wa kijani kainuka na hii. 0 % Maksi umepata kuanzia heading.
 
Usingejitoa ufahamu kiasi hicho hadi umekuwa chukizo kwa ukoo wako hadi wanatamani wakulishe sumu ufe kuliko kuendelea kuwafedhehesha kiasi hiki
Wewe ndio watu kila siku wanatamani wasikie umekunywa sumu na kufa maana wanaona ni chukizo mbele za wanadamu na Mungu pia.
 
Ili iweje Mkuu!? Je unadhani Samia ana mchango mkubwa namna hiyo kuliko Baba wa Taifa? Au Sokoine?! Samia ana mchango mkubwa kiasi kwamba anamzidi uzalendo au uchapakazi Kawawa!? Ni kitu gani ambacho kinamfanya Samia aonekane ni kiongozi wa tofauti kushinda Ally Hassan Mwinyi??

Kuna wakati zungumzeni vitu vilivyo na matiki, kwa kasi ya mapambio yanayoendelea mwisho wa siku Samia mwenyewe ataona ni matusi?! Je unadhani BOT kuweka sura au picha ya Samia kwenye Noti au Sarafu ndo kipimo cha kuonesha uzalendo wa Samia kwa Tanganyika?!

Kaa chini, kisha andika mambo ambayo Marais wote wa Tanganyika pamoja na Zanzibar wameyafany halafu linganisha uone Samia anakaa nafasi gani.

Haya ni matusi ya kiwango cha 5G! Kwanini hujasema Mkapa, au Kikwete au Magufuli? Ila umeingia mzima mzima kwa Samia?! Kabla hujaitamkia umma kuwa Noti za watanzania ziwe na taswira ya Samia waambie kwanza wawe na pesa zenye sura za watangulizi wake waliofanya makubwa na kupaua njia ambayo kwa sasa ndo anaitembelea.
 
Kwanini unakurupuka kiasi hicho kujibu hoja usiyoielewa? Umeelewa msingi wa hoja yangu?
 
Back
Top Bottom