Ni Wakati Muafaka Now kwa Tume ya Katiba Kuondoka!!;- They Should Go Now!!

Kumbe ndugu yangu Bill ni mvuvi?

 
Tanzania hakuna upinzani makini na hata mwaka 2010 ni kama ilikuwa CCM dhidi ya CCM. Mwenye macho haambiwi tazama. CCM sasa hivi wanahaha kwa sababu ya upinzani huo huo ambao mwenzetu anauona dhaifu, lakini si hivyo tu uchaguzi wa 2005 rais alipata zaidi ya asilimia 80 lakini mwaka 2010 akapata asilimia 60. Ni kwa nini, subiri 2015 time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…