Ni Wakati Muafaka Now kwa Tume ya Katiba Kuondoka!!;- They Should Go Now!!

Ni Wakati Muafaka Now kwa Tume ya Katiba Kuondoka!!;- They Should Go Now!!

Nikiwa kama mtanzania, na bila kuwa na political patronage kwa chama chochote cha siasa suala la TUME YA KATIBA ni suala la nchi wala si chama chochote cha siasa kuliweka suala la katiba kisiasa ni ujinga kimtazamo na kiutendaji na kupelekea watu hao kifalsafa tuwaite "reductio absurdities"(wapumbavu wa mwisho). Tume imefanya kazi yake from grassroots to top! basi ni utashi wa kiweledi tuiache tume imalize kazi yake! Tanzania inajengw na matabaka kama uchumi,jamii,siasa na asasi hivyo kuweka mjadala wa katiba kisiasa ni upumbavu wa mwisho!! THINK BIG hasa unavopost mambo hapa jamvini hii sio FACEBOOK! Reduction absurdity!!!!!!
 
- Either huna hoja au huelewi hili darasa, Waliteuliwa kusikiliza na kuandika chini tu maoni ya wananchi sio kutuandikia maoni yao, so sasa wamekabidhi maoni tayari waondoke and then ndio walie lie wakiwa nje ya kamati not now!!

Le Big Shoow!!
uwe unafikiria kidogo mkuu
hayo unayosema mawazo yao yako wapi?
hawa wametoa mawazo ya wananchi na hawapendi yacakachuliwe na ninyi mijambazi.
MKUU UNGECHUKUA AKIRI KIGOGO TU YA MZEE WAKO INGEKUSAIDIA SANA TATIZO MELI ZIMEMALIZA UBONGO WOTE.
 
- Eti nitumie jina la bandia ili kulinda hadhi ya baba yangu? ha! ha! ha! ha! ha!, kwa sababu wewe unalinda hadhi ya baba yako kwa kutumia id ya bandia? ha! ha1

Le Mutuz

Ushauri wake ni mzuri tu anamaanisha ungetumia tu ID ile ile uliyokuwa unaitumia kumtukana Jakaya Kikwete.

Kama unabisha hili muulize Field Marshal Es. Kama hujaumbuka mchana kweupe mnafki mkubwa wewe.
 
- Nimeshitushwa sana na vitisho kutoka kwa Tume ya Katiba kwamba eti watajiuzulu iwapo matakwa yao ya kututengenezea Katiba mpya hayatakubaliwa, well;- nilisema toka siku ya kwanza Tume hiyo ilipotoa the so called "Rasimu ya Katiba Mpya" kwamba ilitakiwa siku ile ile wote waondoke. Kwa sababu mimi sijawahi kuona Tume ya kuandika maoni tu ya Katiba inavyojipachika madaraka makubwa kama tume hii, Mwenyekiti wao alikuwa anaongea kama vile amepewa kazi ya kutengeneza katiba wakati ukweli ni kwamba kazi yao ilikuwa ni kusikiliza tu maoni ya wananchi na kuyaandika chini na kuyakabidhi kwa Taifa tuyafanyie kazi wenyewe kwa kutumia Bunge letu la Taifa na sio anything else!

- Naomba kusema tena kwenye Katiba mpya tunaongelea Taifa letu wote sio la mtu mmoja, Tume ya Katiba wanatakiwa kuelewa kwamba wanatakiwa kujiuzulu kwanza kutoka kwenye kamati ndio waanze kudai madai yao kuhusu Katiba, tumewashuhudia wakipigana sana na Wananchi kwenye kuwasikiliza wakijaribu kila wanaloweza kulazimisha mawazo yao yawe ya wananchi ambayo yalikuwa ni makosa makubwa sana sio tu politically bali hata legally ninaamini walikuwa wanavunja kiapo chao cha kukusanya tu maoni ya wananchi na sio kuyatengeneza kama walivyofanya.

- Binafsi ninaamini kazi yao sasa imekwisha, waondoke ili kutupa nafasi Taifa kujadili tunataka nini. CCM ndio chama Tawala kinchoshika Dola na kukubalika na wananchi wengi kwa mujibu wa kura za uchaguzi wa mwisho uliopita so hakuhitaji kuwa na na hata majadiliano kwamba CCM ndio wenye upper hand katika kutengeneza katiba mpya kwa sababu ndicho chama kinachokubalika na wananchi wengi uthibitisho huo upo wazi kwenye idadi ya Wabunge ambapo CCM ina Wabunge 280 Chadema wana Wabunge 46 tu,

- I mean kwa political standards za Dunia maana yake ni kwamba Tanzania hakuna serious Upinzani kabisa na hata uchaguzi wa mwisho haukuwa na Competition rather than CCM against CCM itself. Tume ya Katiba wacheni kututisha na maneno maneno mengi hewa, hiyo nguvu ya kutuamulia Katiba mpya mmepewa na nani? Huu ni wakati muafaka mkaondoka kwa amani, tupeni maoni mliyokusanya halafu muondoke now!!, then mpige makelele yenu ya binafsi mkiwa nje ya kamati hiyo inakubalika kisheria sio sasa.

Le Mutuz on my way to Lushoto.

This is simply piece of craaaaaaaap
 
hata mimi nashangaa mkuu mbona baba yake zipo kichwani!

Baba yake zipo kichwani kivipi? Angekuwa nazo angeng'ang'ania kuwa mbunge wa maisha mpaka akaja kung'olewa na standard seven failure? Hivi huyu Kibajaji ana hadhi hata ya Mwenyekiti wa mtaa?

Like Father like son like step Mother all a bunch of mediocre and political losers.
 
baba yake zipo kichwani kivipi? Angekuwa nazo angeng'ang'ania kuwa mbunge wa maisha mpaka akaja kung'olewa na standard seven failure? Hivi huyu kibajaji ana hadhi hata ya mwenyekiti wa mtaa?

Like father like son like step mother all a bunch of mediocre and political losers.

hiyo ni hali ya kawaida ya mwanadamu kutaka kukamadarakani maisha na kumbuka ndoto za babayake zilikuwa nikuwa president ila hili ni hamnazo kabisa mkuu!
 
- Either huna hoja au huelewi hili darasa, Waliteuliwa kusikiliza na kuandika chini tu maoni ya wananchi sio kutuandikia maoni yao, so sasa wamekabidhi maoni tayari waondoke and then ndio walie lie wakiwa nje ya kamati not now!!

Le Big Shoow!!
nani atatolea ufafanuzi rasimu kipindi mjadala ukianza?au hasira za serikali 3 mkuu
 
Msameheni bure, huenda ameisha kunywa mvinyo wa Dodoma
Kaka nilivyo ona picha yako nikaona ilo joho nakofia yako ya heshima nilifurahi nikiwa nafaraja kwamba nakuja kupata kitu kipya! Lakini picha yoko uitendei haki umeandika ugolo mawazo yako nibora nikawasikilize watoto wa sunday school walau wanakuwa namaono au niangale comed nitajifariji kwa kucheka! Sijaona ulitaka kuwaambia nn WATANZANIA tofauti nakunadi chama chako cha ccm chama mfu!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Msameheni bure, huenda ameisha kunywa mvinyo wa Dodoma

Hilo joho lisikutishe kabisa hata watoto wa Nursery schools hayo wanayavaa, si kila umuonaye na koti jeupe ukadhani ni daktari labda hujawahi kufika buchani.

Huyo ni muhitimu wa chuo cha wavuvi ndiko alikopata Diploma, enzi zetu ilikuwa ukikosa credit za kuendelea high school chuo cha wavuvi ndio ilikuwa option ili ufike Ulaya kiurahisi.
 
Ati ni bouncer wa Bulembo.........

CHUNYA+LEO+028.JPG
 
- Chama cha Mapinduzi kinayo haki kikatiba kuwapa elimu ya namna ya kuchangia katiba mpya so is Chadema in the end ni wengi ndio wanaotakiwa kushinda ndio maana ya Demokrasia, eti wewe ni nani mnaoshangaa kuona mimi Le Mutuz:-

1. MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM TAIFA. 2. MJUMBE WA WAZAZI/CCM TAIFA. 3. MJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA UV-CCM.

- Unasema wewe na wenzako mnashangaa kwamba kwa nini ninatembelea Taifa kuhamasisha CCM are serious au unatania mkuu? Kwani wewe una cheo gani huko Chadema?

Le Mutuz

Sasa ni kijana au mzazi?Kwenye kundi la wazazi haupo kwa kua umetelekeza familia!Nashanga wewe kuwepo uvccm wakati ndio waliomua ndugu yako IPYANA
 
Wewe Kikongwe ni bora ungebakia huko huko Marekani huna faida yoyote kwa Taifa lako,Mtu gani unaongea kama mlevi wa matapu tapu kila ukifungua mdomo wako.Badilika mkuu au unajisikia sawa tu kutukanana na vijana sawa na wajukuu wako humu jamvini?Kumbuka wewe ni mtoto wa aliyewahi kuwa kiongozi mzito hapa Nchini,Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ni vyeo vikubwa sana jaribu kulinda hadhi ya mzee wako aliyotumia miaka na juhudi nyingi kuijenga lakini kwa kukosa kwako umakini na uelewa unaibomoa hiyo hadhi ya Mzee Malecela bila kujua.Wakati mwingine huwa nahisi Mzee Malecela anajuta kuwa na mtoto kama wewe.Una-expose mno ujinga wako katika mitandao ya kijamii tena ukitumia jina la Mzee anayeheshimika sana hapa Tanzania bora hata ungetumia ID nyingine tofauti.

Nadhani huyu atavunja rekodi, sijawahi kuona mtoto wa kiongozi au wa aliyekuwa kiongozi wa juu mpuuzi na mropokaji kama huyu. Huyu ni zaidi Nape sema tu hana jukwaa la kusememea tofauti na huku kwenye social media kama jf. Hili ni bonge la kilaza, lingetokea likazaliwa familia masikini kama yangu mimi lingekuwa linachunga ng'ombe huko vijijini na kuvuta bangi na wala lingejua kusoma wala kuandika. Maana kama limezaliwa na kukulia kwenye fursa lukuki namna hiyo na bado liko hivyo lilivyo, imagine kama ingekuwa vice verse.
 
Hivi unajua maana ya Great Thinkers au unaishi kwa ku-copy na ku-paste tu?Hizi elimu za Kata zimeharibu kizazi cha sasa kabisa.
Kumbe na wewe umo kwenye kundi hilo? Shukrani kwa kujiweka wazi
 
Tatizo ni kuwaacha Watu kama hawa wanapewa nafasi za juu wanaharibu nchi sisi tunalalamika tuu.. Tukapambane nao huko huko mpaka kieleweke
 
- Nimeshitushwa sana na vitisho kutoka kwa Tume ya Katiba kwamba eti watajiuzulu iwapo matakwa yao ya kututengenezea Katiba mpya hayatakubaliwa, well;- nilisema toka siku ya kwanza Tume hiyo ilipotoa the so called "Rasimu ya Katiba Mpya" kwamba ilitakiwa siku ile ile wote waondoke. Kwa sababu mimi sijawahi kuona Tume ya kuandika maoni tu ya Katiba inavyojipachika madaraka makubwa kama tume hii, Mwenyekiti wao alikuwa anaongea kama vile amepewa kazi ya kutengeneza katiba wakati ukweli ni kwamba kazi yao ilikuwa ni kusikiliza tu maoni ya wananchi na kuyaandika chini na kuyakabidhi kwa Taifa tuyafanyie kazi wenyewe kwa kutumia Bunge letu la Taifa na sio anything else!

- Naomba kusema tena kwenye Katiba mpya tunaongelea Taifa letu wote sio la mtu mmoja, Tume ya Katiba wanatakiwa kuelewa kwamba wanatakiwa kujiuzulu kwanza kutoka kwenye kamati ndio waanze kudai madai yao kuhusu Katiba, tumewashuhudia wakipigana sana na Wananchi kwenye kuwasikiliza wakijaribu kila wanaloweza kulazimisha mawazo yao yawe ya wananchi ambayo yalikuwa ni makosa makubwa sana sio tu politically bali hata legally ninaamini walikuwa wanavunja kiapo chao cha kukusanya tu maoni ya wananchi na sio kuyatengeneza kama walivyofanya.

- Binafsi ninaamini kazi yao sasa imekwisha, waondoke ili kutupa nafasi Taifa kujadili tunataka nini. CCM ndio chama Tawala kinchoshika Dola na kukubalika na wananchi wengi kwa mujibu wa kura za uchaguzi wa mwisho uliopita so hakuhitaji kuwa na na hata majadiliano kwamba CCM ndio wenye upper hand katika kutengeneza katiba mpya kwa sababu ndicho chama kinachokubalika na wananchi wengi uthibitisho huo upo wazi kwenye idadi ya Wabunge ambapo CCM ina Wabunge 280 Chadema wana Wabunge 46 tu,

- I mean kwa political standards za Dunia maana yake ni kwamba Tanzania hakuna serious Upinzani kabisa na hata uchaguzi wa mwisho haukuwa na Competition rather than CCM against CCM itself. Tume ya Katiba wacheni kututisha na maneno maneno mengi hewa, hiyo nguvu ya kutuamulia Katiba mpya mmepewa na nani? Huu ni wakati muafaka mkaondoka kwa amani, tupeni maoni mliyokusanya halafu muondoke now!!, then mpige makelele yenu ya binafsi mkiwa nje ya kamati hiyo inakubalika kisheria sio sasa.

Le Mutuz on my way to Lushoto.

wewe ni mmoja kati ya mbumbumbu wa CCM unayeshiriki vema kuizika CCM.

Ninaamini bandiko lako hili limewakwaza sana wanaCCM wengi hasa wale wenye akili timamu.

Are you the man with real two balls hanging between your legs???
im doubt.
 
Bwana Mdogo WJ MALECELA naona sasa unafirisika kisiasa kila siku inayopita.
Hata kama ni kujipendekeza na kujipitisha ili angalau term ijayo uingie kwenye system kama mdingi wako! Nafikiri hekima katika kujadiri hoja ni muhimu.
 
Back
Top Bottom