Ni wakati muafaka sasa Mifugo itozwe kodi. Msukuma au Mmasai anamiliki zaidi ya ng’ombe 1,000 na hachangii chochote! It is not fair

IMkuu hata wamachinga wanaozurura na bidhaa zao huko na kule wanachangia kupitia kipande cha 20,000/=. Nafikiri wanaozurura na mifugo ndo walipe kodi kubwa. Wanaharibu mazingira ambapo gharama za kuyarekebisha ni kodi ya mfanyakazi na mfanyabiashara.
Sijakupinga ila huyo mchunga ng'ombe anaweza amua kuishi pori la akiba na hifadhi miaka 100 hawajengi.

Na hakuna mwanadamu wa kwenda kumkabili huko.
Labda majeshi ya kubangua korosho kwa mabomu, yapewe kazi maalum.
Hawa jamii za wafugaji ni watataaaaa!
Angalia tu mtu fulani hivi, top manyota hapa nchini.


Everyday is Saturday............................... 😎
 
Inabidi wahaya na wachaga walipie kodi migomba kila mgomba mmoja utozwe dola 50$ .

Najua wachaga na wahaya ni matajiri Sana wakikasirika watalipia mgomba mmoja dola 100$.
Hiyo ni mada tofauti,
 
Inabidi wahaya na wachaga walipie kodi migomba kila mgomba mmoja utozwe dola 50$ .

Najua wachaga na wahaya ni matajiri Sana wakikasirika watalipia mgomba mmoja dola 100$.
Huu ni ubaguzi wanyakyusa kule Rungwe waachiwe tu Ile migomba yao bure bure!

Everyday is Saturday................................😎
 
Huu ni ubaguzi wanyakyusa kule Rungwe waachiwe tu Ile migomba yao bure bure!

Everyday is Saturday................................😎
Na wanyaki nao matajiri Sana walipie migomba dola 200$.
 
Bonge la point mkuu
 
Hiyo ndiyo sababu ya vipngozi wengi kujishughulisha na ufugaji. Kigwangala, Bashe, Musukuma, Rais mstaafu Kikwete, Rais Magufuli, etc; wote wafugaji, na hawalipi kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kumbuka wakipita nyama utaisikia kwa jilani yako.wakiweka kodi utakuja kuilipa wewe wamwisho vyote vinakuhusu
 
Kumbuka wakipita nyama utaisikia kwa jilani yako.wakiweka kodi utakuja kuilipa wewe wamwisho vyote vinakuhusu
Miaka ya 90 hii kodi ilikuwepo, nyama ilikuwa bei ya chini, haina effect yoyote. Mwenye bucha akinunua ngombe kwa mfugaji lets say kwa 200,000/= akimchinja anaweza kupata 100,000 mpaka 200000/= faida kwa kuuza nyama yake. So, effect ya kulipia 2000/= ya kodi ya ngombe kwenye bei ya nyama ni ndogo sana. Inaweza kuwa accomodated ktk faida ya kuuza nyama kwa bei kutopanda.
 

Mwenye ngombe mfano
Ushuru wa kila ngombe kwa mfugaji+ushuru wa ngombe pale unapouza huyo ngombe+ushuru ngombe kusafirisha mfano mikoani+ushuru wa machinjio+ushuru wa bucha hapo= alafu nyama shingapi hapo
 
Mkuu umeongea kitu muhimu sana.

Kuna mtu aliweka uzi hapa kwamba watu wa Norway wanapenda kulipa kodi. Nikasema ni kwa sababu wanaona wazi kodi yao inavyowafaidisha, serikali ina mipango mizuri.

Siyo sisi tunatoza kodi sana watu, halafu tunanunua midege ambayo hata haitumiki na manunuzi yake hayafuati tender process. Na hata vitabu vya shirika la ndege havikaguliwi.

 
Watoze kodi pia ya matundu ya vyoo.

Kama nyumba ina matundu matano ya vyoo basi walipie kila tundu la choo japo buku kumi kwa mwak, kwa hiyo alipe 50, 000
 
Wee una shida wenye mabucha na wenye viwanda vya mazao ya mifugo si wanalipa kodi au unazan serikali wajinga
 
Watoze kodi pia ya matundu ya vyoo.

Kama nyumba ina matundu matano ya vyoo basi walipie kila tundu la choo japo buku kumi kwa mwak, kwa hiyo alipe 50, 000
Nimekumbuka mkuu, kila mji waweke Geti kubwa kuingia mjini lazima uwe na kiingilio,

Kwa siku ni elfu 5000.
 
Huko vyuoni viongozi wetu walienda kusomea ujinga ama walienda kuondoa ujinga?
Kuna mmoja wa afya anajua misuto yote ya kizaramo, sijui kama huko vyuoni huwa wanajifunza na masomo ya kuzodoana?
 
Awamu hii mtatoza hadi minba za wake zetu!! Laah
 
Wazo zuri
Ni wazo zuri la kuongeza gharama kwa mlaji wa mwisho maana ndiye atayebeba huo mzigo,

Mleta mada anadhani anakomoa mfugaji kumbe anawakomoa walaji, huwezi jua hata mleta mada naye ni rastafarian hali nyama Ila analalamikia bei ya nyama iongezwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…