Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Sijakupinga ila huyo mchunga ng'ombe anaweza amua kuishi pori la akiba na hifadhi miaka 100 hawajengi.IMkuu hata wamachinga wanaozurura na bidhaa zao huko na kule wanachangia kupitia kipande cha 20,000/=. Nafikiri wanaozurura na mifugo ndo walipe kodi kubwa. Wanaharibu mazingira ambapo gharama za kuyarekebisha ni kodi ya mfanyakazi na mfanyabiashara.
Na hakuna mwanadamu wa kwenda kumkabili huko.
Labda majeshi ya kubangua korosho kwa mabomu, yapewe kazi maalum.
Hawa jamii za wafugaji ni watataaaaa!
Angalia tu mtu fulani hivi, top manyota hapa nchini.
Everyday is Saturday............................... 😎