Nakubaliana na wewe, lakini ni busara kuchagua kipi kianze. Ikisanywe kodi ili uwekeze au kinyume chake? Kwa vile tiyari mifugo ipo, lakini hela ya kuwekeza ndiyo shida, basi tukusanye kodi then tuwekeze zaidi.Kuna mdau kajibu vizuri. Shida sio kodi je serikali iko tayari kuwekeza. Maana hata sasa kinachowatia watu uvivu kulipa kodi ni hawaoni kodi wanayolipa inawasaidiaje kurahisisha shughuli yao.
Hivi nani kakudanganya wafugaji hawalipi kodi ?Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi.
Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA.
Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao.
Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha vyanzo vya kodi.
Vyanzo vikubwa kama Mifugo, vimeachwa bila sababu.
Kwa hesabu ndogo tuu, mfano Wilaya kama Meatu ina takriban ya ngombe zaidi ya laki nne. Ukitoza kodi angalau 2,000/= kwa kichwa cha ngombe kwa mwaka utapata almost 800 million, bado mbuzi na wanyama wengine.
Hiki chanzo kingeweza kupunguza lengo la makusanyo ya Wilaya yaliyoelekezwa kwa wafanyabiashara tu.
Halikadhalika, Serikali hutumia gharama kubwa kutengeneza miundombinu ya mifugo. Ni kwa nini gharama hizo zisitokane na kodi ya mifugo,badala ya kutumia kodi za wafanyakazi na wafanyabiashara.
Ni maoni yangu kuwa sekta zote za kipato rasmi,zichangie kwa usawa maendeleo ya nchi yetu badala ya kuelekeza nguvu zote kwa kundi dogo.
Kuna sehemu nimetaja rushwa ?Tofautisha rushwa na kodi.
Nakubaliana na wewe, lakini ni busara kuchagua kipi kianze. Ikisanywe kodi ili uwekeze au kinyume chake? Kwa vile tiyari mifugo ipo, lakini hela ya kuwekeza ndiyo shida, basi tukusanye kodi then tuwekeze zaidi.
Utaratibu huwa ni kukusanya kodi ili fedha itakayopatikana, itumike kuleta unavyohitaji! Tunakusanya kodi ili kujenga miundombinu shule nk. Huwezi kuiambia serikali ijenge kwanza miundombinu ndo ikusanye kodi! Vivyo hivyo, huwezi kuiambia serikali ijenge majosho ya mifugo ndo mifugo walipishwe kodi! Hiyo fedha itoke kwa nani?Unatoza Kodi mfugaji ambaye asaidiwi chochote na serikali hii haiko sawa...
Serikali itatue migogoro ya wakulima na wafugaji... Kwa kuwapa maeneo rasmi yenye malisho ya mifugo...
Serikali itoe huduma za majosho, ruzuku ya chanjo na elimu ya ufugaji wa kisasa...
Waboreshe na sera zinazohusu mifugo... Kupata mkopo na bima kupitia mifugo...
Serikali haiwezi kufanya hivyo kwa Sasa maana wafugaji wengi wanafuga kienyeji...
Serikali ilikuwa na mpango wa kila mwaka mifugo kuwekewa alama na kuchukua takwimu... Jiulize kwa Nini ilo zoezi halikuwa endelevu? Sababu kubwa Ni serikali kutothamini mifugo na sekta ya uvuvi...
Kweli kabisa,jibu sahihi kabisaMkitulipisha hizo kodi za mifugo yetu mjiandae na kupanda kwa bei ya vyakula. Hivyo utakuta nyama unayopata kwa kilo sh 7,500@kg itapaa mpaka 10,000@kg.
Ilipopanda bei ya sukari,kulitokana na ongezeko gani la kodi? Mkuu, hutegemea madhara ya kodi kwenye ongezeko au punguzo la faida pia sera za nchi.Kweli kabisa,jibu sahihi kabisa
Kwaiyo unawaonea wivu ciyo?Kwelii kabisaaaa Hawa jamaa tupo nao hukuu wana makundi makubwa ya mifugo na halipi chochoteee
Naunga mkono hojaHivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi.
Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA.
Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao.
Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha vyanzo vya kodi.
Vyanzo vikubwa kama Mifugo, vimeachwa bila sababu.
Kwa hesabu ndogo tuu, mfano Wilaya kama Meatu ina takriban ya ngombe zaidi ya laki nne. Ukitoza kodi angalau 2,000/= kwa kichwa cha ngombe kwa mwaka utapata almost 800 million, bado mbuzi na wanyama wengine.
Hiki chanzo kingeweza kupunguza lengo la makusanyo ya Wilaya yaliyoelekezwa kwa wafanyabiashara tu.
Halikadhalika, Serikali hutumia gharama kubwa kutengeneza miundombinu ya mifugo. Ni kwa nini gharama hizo zisitokane na kodi ya mifugo,badala ya kutumia kodi za wafanyakazi na wafanyabiashara.
Ni maoni yangu kuwa sekta zote za kipato rasmi,zichangie kwa usawa maendeleo ya nchi yetu badala ya kuelekeza nguvu zote kwa kundi dogo.
Kuna sehemu nimetaja kodi ?Unaposema H/shauri zinatoza kodi ya mifugo,hiyo kodi ni ipi na inatozwa kwa kila mifugo kwa idadi na muda sawa?
bonge la wazo nadhani ni muda sasa serikali kutambua kwamba siyo pekee wenye akili watafakari kuwa na member anayefahamika kuchukua maoni ya hii platform then kuifanyia kazi manake Kama idea hii mtu anakuwa na ng'ombe 2000 anaharibu mazingira,mto na Bado serikali hainufaiki na chochote na wakati ile ni assetHivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi.
Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA.
Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao.
Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha vyanzo vya kodi.
Vyanzo vikubwa kama Mifugo, vimeachwa bila sababu.
Kwa hesabu ndogo tuu, mfano Wilaya kama Meatu ina takriban ya ngombe zaidi ya laki nne. Ukitoza kodi angalau 2,000/= kwa kichwa cha ngombe kwa mwaka utapata almost 800 million, bado mbuzi na wanyama wengine.
Hiki chanzo kingeweza kupunguza lengo la makusanyo ya Wilaya yaliyoelekezwa kwa wafanyabiashara tu.
Halikadhalika, Serikali hutumia gharama kubwa kutengeneza miundombinu ya mifugo. Ni kwa nini gharama hizo zisitokane na kodi ya mifugo,badala ya kutumia kodi za wafanyakazi na wafanyabiashara.
Ni maoni yangu kuwa sekta zote za kipato rasmi,zichangie kwa usawa maendeleo ya nchi yetu badala ya kuelekeza nguvu zote kwa kundi dogo.
Mbona wenye maduka wanatozwa kodi na tunanunua sukari mchele mafuta unga kila siku na tunaimudu na chakula bei poa kwa mama ntilieUnafikiri wakitozwa kodi utamudu kununua nyama buchani?. Watu wa mazao ya kilimo na mifugo ni wa kupewa ruzuku si kuwaundia kodi
Kuku nao watozwe kodiHivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi.
Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA.
Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao.
Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha vyanzo vya kodi.
Vyanzo vikubwa kama Mifugo, vimeachwa bila sababu.
Kwa hesabu ndogo tuu, mfano Wilaya kama Meatu ina takriban ya ngombe zaidi ya laki nne. Ukitoza kodi angalau 2,000/= kwa kichwa cha ngombe kwa mwaka utapata almost 800 million, bado mbuzi na wanyama wengine.
Hiki chanzo kingeweza kupunguza lengo la makusanyo ya Wilaya yaliyoelekezwa kwa wafanyabiashara tu.
Halikadhalika, Serikali hutumia gharama kubwa kutengeneza miundombinu ya mifugo. Ni kwa nini gharama hizo zisitokane na kodi ya mifugo,badala ya kutumia kodi za wafanyakazi na wafanyabiashara.
Ni maoni yangu kuwa sekta zote za kipato rasmi,zichangie kwa usawa maendeleo ya nchi yetu badala ya kuelekeza nguvu zote kwa kundi dogo.
Mwenye ngombe mfano
Ushuru wa kila ngombe kwa mfugaji+ushuru wa ngombe pale unapouza huyo ngombe+ushuru ngombe kusafirisha mfano mikoani+ushuru wa machinjio+ushuru wa bucha hapo= alafu nyama shingapi hapo