Ni wakati muafaka sasa Mifugo itozwe kodi. Msukuma au Mmasai anamiliki zaidi ya ng’ombe 1,000 na hachangii chochote! It is not fair

Kuna mdau kajibu vizuri. Shida sio kodi je serikali iko tayari kuwekeza. Maana hata sasa kinachowatia watu uvivu kulipa kodi ni hawaoni kodi wanayolipa inawasaidiaje kurahisisha shughuli yao.
Nakubaliana na wewe, lakini ni busara kuchagua kipi kianze. Ikisanywe kodi ili uwekeze au kinyume chake? Kwa vile tiyari mifugo ipo, lakini hela ya kuwekeza ndiyo shida, basi tukusanye kodi then tuwekeze zaidi.
 
Happy umenena vyema kunauonezi mkubwa Sana kwa wafanyabiashara
 
Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi.

Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA.

Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao.

Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha vyanzo vya kodi.

Vyanzo vikubwa kama Mifugo, vimeachwa bila sababu.

Kwa hesabu ndogo tuu, mfano Wilaya kama Meatu ina takriban ya ngombe zaidi ya laki nne. Ukitoza kodi angalau 2,000/= kwa kichwa cha ngombe kwa mwaka utapata almost 800 million, bado mbuzi na wanyama wengine.

Hiki chanzo kingeweza kupunguza lengo la makusanyo ya Wilaya yaliyoelekezwa kwa wafanyabiashara tu.

Halikadhalika, Serikali hutumia gharama kubwa kutengeneza miundombinu ya mifugo. Ni kwa nini gharama hizo zisitokane na kodi ya mifugo,badala ya kutumia kodi za wafanyakazi na wafanyabiashara.

Ni maoni yangu kuwa sekta zote za kipato rasmi,zichangie kwa usawa maendeleo ya nchi yetu badala ya kuelekeza nguvu zote kwa kundi dogo.
Hivi nani kakudanganya wafugaji hawalipi kodi ?

Kwa taarifa yako wafugaji tunazipa halamashauri mapato makubwa kuliko hata hako kaduka kako kachupi za mitumba.
 
Tofautisha rushwa na kodi.
 
Nakubaliana na wewe, lakini ni busara kuchagua kipi kianze. Ikisanywe kodi ili uwekeze au kinyume chake? Kwa vile tiyari mifugo ipo, lakini hela ya kuwekeza ndiyo shida, basi tukusanye kodi then tuwekeze zaidi.

Unatoza Kodi mfugaji ambaye asaidiwi chochote na serikali hii haiko sawa...

Serikali itatue migogoro ya wakulima na wafugaji... Kwa kuwapa maeneo rasmi yenye malisho ya mifugo...

Serikali itoe huduma za majosho, ruzuku ya chanjo na elimu ya ufugaji wa kisasa...

Waboreshe na sera zinazohusu mifugo... Kupata mkopo na bima kupitia mifugo...

Serikali haiwezi kufanya hivyo kwa Sasa maana wafugaji wengi wanafuga kienyeji...

Serikali ilikuwa na mpango wa kila mwaka mifugo kuwekewa alama na kuchukua takwimu... Jiulize kwa Nini ilo zoezi halikuwa endelevu? Sababu kubwa Ni serikali kutothamini mifugo na sekta ya uvuvi...
 
Utaratibu huwa ni kukusanya kodi ili fedha itakayopatikana, itumike kuleta unavyohitaji! Tunakusanya kodi ili kujenga miundombinu shule nk. Huwezi kuiambia serikali ijenge kwanza miundombinu ndo ikusanye kodi! Vivyo hivyo, huwezi kuiambia serikali ijenge majosho ya mifugo ndo mifugo walipishwe kodi! Hiyo fedha itoke kwa nani?
 
Kuna sehemu nimetaja rushwa ?
Unaposema H/shauri zinatoza kodi ya mifugo,hiyo kodi ni ipi na inatozwa kwa kila mifugo kwa idadi na muda sawa?
 
Kweli kabisa,jibu sahihi kabisa
Ilipopanda bei ya sukari,kulitokana na ongezeko gani la kodi? Mkuu, hutegemea madhara ya kodi kwenye ongezeko au punguzo la faida pia sera za nchi.
Tukuogopa kutoza kodi kwa kuhofia kupanda bei bidhaa siyo sawa maana yake tutarudi nyuma kimaendeleo.
 
Ikitozwa kodi bei ya nyama itapanda hutaweza kununua! Kila kitu kina impact! Vyanzo vya kodi ni vingi lakini lazima uangaloe na uwezo wa vyanzo vyenyewe! Na mbona hujataja rasilimali kibao zilizopo unakimbilia Mifugo
 
Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi.

Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA.

Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao.

Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha vyanzo vya kodi.

Vyanzo vikubwa kama Mifugo, vimeachwa bila sababu.

Kwa hesabu ndogo tuu, mfano Wilaya kama Meatu ina takriban ya ngombe zaidi ya laki nne. Ukitoza kodi angalau 2,000/= kwa kichwa cha ngombe kwa mwaka utapata almost 800 million, bado mbuzi na wanyama wengine.

Hiki chanzo kingeweza kupunguza lengo la makusanyo ya Wilaya yaliyoelekezwa kwa wafanyabiashara tu.

Halikadhalika, Serikali hutumia gharama kubwa kutengeneza miundombinu ya mifugo. Ni kwa nini gharama hizo zisitokane na kodi ya mifugo,badala ya kutumia kodi za wafanyakazi na wafanyabiashara.

Ni maoni yangu kuwa sekta zote za kipato rasmi,zichangie kwa usawa maendeleo ya nchi yetu badala ya kuelekeza nguvu zote kwa kundi dogo.
Naunga mkono hoja
 
bonge la wazo nadhani ni muda sasa serikali kutambua kwamba siyo pekee wenye akili watafakari kuwa na member anayefahamika kuchukua maoni ya hii platform then kuifanyia kazi manake Kama idea hii mtu anakuwa na ng'ombe 2000 anaharibu mazingira,mto na Bado serikali hainufaiki na chochote na wakati ile ni asset
 
Unafikiri wakitozwa kodi utamudu kununua nyama buchani?. Watu wa mazao ya kilimo na mifugo ni wa kupewa ruzuku si kuwaundia kodi
Mbona wenye maduka wanatozwa kodi na tunanunua sukari mchele mafuta unga kila siku na tunaimudu na chakula bei poa kwa mama ntilie
 
Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi.

Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA.

Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao.

Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha vyanzo vya kodi.

Vyanzo vikubwa kama Mifugo, vimeachwa bila sababu.

Kwa hesabu ndogo tuu, mfano Wilaya kama Meatu ina takriban ya ngombe zaidi ya laki nne. Ukitoza kodi angalau 2,000/= kwa kichwa cha ngombe kwa mwaka utapata almost 800 million, bado mbuzi na wanyama wengine.

Hiki chanzo kingeweza kupunguza lengo la makusanyo ya Wilaya yaliyoelekezwa kwa wafanyabiashara tu.

Halikadhalika, Serikali hutumia gharama kubwa kutengeneza miundombinu ya mifugo. Ni kwa nini gharama hizo zisitokane na kodi ya mifugo,badala ya kutumia kodi za wafanyakazi na wafanyabiashara.

Ni maoni yangu kuwa sekta zote za kipato rasmi,zichangie kwa usawa maendeleo ya nchi yetu badala ya kuelekeza nguvu zote kwa kundi dogo.
Kuku nao watozwe kodi
 
Mwenye ngombe mfano
Ushuru wa kila ngombe kwa mfugaji+ushuru wa ngombe pale unapouza huyo ngombe+ushuru ngombe kusafirisha mfano mikoani+ushuru wa machinjio+ushuru wa bucha hapo= alafu nyama shingapi hapo

Bei lazima iwe juu...
 
Back
Top Bottom