TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
America kuna katiba moja tu nayo ni Federal constitution ambapo states zote pale America zina_obey,States zimebakiwa na bylaws wanazozitumia ktk masuala madogo madogo kama vile immigration, elections, development projects, nk na bado hizo bylaws zinaendana na sheria zilizomo kwenye katiba mama (federal constitution).Marekani kafuatilie kila jimbo lina katiba yake.Ndio maana majimbo mengine yanaruhusu ushoga mengine hayataki na wameweka kwenye katiba zao.
America kuna katiba moja tu nayo ni Federal constitution ambapo states zote pale America zina_obey,States zimebakiwa na bylaws wanazozitumia ktk masuala madogo madogo kama vile immigration, elections, development projects, nk na bado hizo bylaws zinaendana na sheria zilizomo kwenye katiba mama (federal constitution).
Acha uongo.NAKUPA KATIBA YA JIMBO LA TEXAS HII HAPA
THE TEXAS CONSTITUTION ARTICLE 1. BILL OF RIGHTS
Ni vizuri wanasiasa na watunga sera wakawa wazi katika hili, kama kweli mfumo unatufaha waje watalamu katika jukwaa hili waseme je twaweza kweli ama la! kushindwa kuwashawishi wananchi katika mambo ya ukweli ila ubakia kusema
Sasa hapo kipi kinakuchanganya?Hiyo bado ni bylaws tu.Kila nchi imejichagulia definition yake ya legal framework yake ieleweke vipi.Ebu nenda hapo Texas waulize wananchi wanatii constitution ipi kama si ya federation.Mbona hata NGOS na vyama vya siasa vinavyo katiba pia?
Kwa hiyo hawajui kingereza.Hawaelewi maana ya Constitution na Bylaws? wewe ndie unajua?
Ccm hawataki kuona kitu kama hicho
Naona sasa Chadema mnataka kuigawa nchi, Kwa hiyo kila COUNTY itakuwa na rais wake?
Umenena. Na huo ndiyo ukweli. Na ukiangalia sana nchi zote zilizo na mfumo wa majimbo hapa afrika, bado kuna kitu kama ukabila kinawatafuna. Mifano mizuri umeisema kama Somali, sudani kusini, Nigeria, Ethiopia nk,. Kwa sababu baadhi ya tawala za majimbo zinakuwa dhaifu matokeo yake ni vuguvguvu la kuondoa utawala wa jimbo na vurugu zinaanza na hiyo inakuwa shida ya nchi nzima. Ethiopia ni mfano mzuri. jimbo la Oromyia, mapigana yapo ambayo yamewafanya watu wawe wakimbizi kwa sababu ya udhaifu uliokuwepo kwenye jimbo hilo. sasa wanataka kujitenga. Ethiopia ilipoanzisha majimbo, watu wasitoka kwenye majimbo wafukuzwa. hasa wafanyakazi, walirudishwa makwao ili watu wa jimbo hilo wapate kazi. Tukianzishwa majimbo sitashangaa Msambaa anayefanyakazi Mwanza kufunkuzwa au makonde aliyeopo Kigoma kurudishwa Mtwara. hatujashindwa TZ kuendesha nchi kama ilivyo, kitu cha mhimu ni kuwa na mgawanyo sawa wa mapato, watu wadilifu na wenye weledi wanatakiwa waongoze hii nchi. siyo wanaoingia kwenye madaraka kwa njia ya fedha.Serikali za majimbo ni mfumo ufaao kwa wale walioshindwa kuunda taifa moja hasa baada ya kutoka vitani.Marekani walipigana vita vya wenyewe kwa wenyewe hadi basi.Wakaona waweke mfumo wa majimbo ambao kila bwana la vita litakuwa na jimbo lake halafu wawe na serikali ya shirikisho tu.Ndio kisa cha marekani kuwa na serikali za majimbo.Marekani ni nchi nyingi ndani ya nchi.Hizi nchi ndogo ndogo zinaitwa majimbo.
Urusi nao walipoanza kutwangana wakaona hawawezani wakaanzisha serikali za majimbo na kuwa na serikali ya umoja ile ya putin.
Afrika kusini nao walitwangana weee baadaye wakakubali yaishe nao wana serikali za majimbo.
Kenya pia baada ya vita za kikabila ilibidi waunde serikali za majimbo zenye magavana n.k ili kugawana madaraka kwa kila bwana la vita la kikabila.Wameshindwa kuunda Kenya moja.
Tanzania tuliweza kufanya nchi moja toka mwanzo hivyo majimbo yakamezwa sababu kila waanzisha serikali walitaka wote nchi moja tu.
Tatizo wengi ni watu wa ku-copy vitu bila kusoma historia ya kwa nini kulikuwepo majimbo? Mtu akienda USA akatembelea kule akapewa pizza na kuongeleshwa kingereza kidogo akirudi nchini anakuwa bila kutafakari utasikia sera ya chama chetu ni majimbo nimeona USA!!!!!
Nchi kama somalia na sudan kusini mojawapo ya namna ya kutatua matatizo yao ya kisiasa ni kuunda serikali ya majimbo ambayo kila jogoo la vita linapewa eneo linakokubalika halafu kunakuwa na serikali ya shirikisho.
Kuunda serikali ya majimbo kwa nchi kama tanzania ni kuisambaratisha nchi na kurudi kule kwenye ukabila na umaeneo.
Sio kila kitu kinachosemwa kinyume na ccm ni kizuri au sio kila kinachofanywa na ccm ni kibaya. Serikali za majimbo zinaweza kuwagawa watu kwani jimbo linakuwa kama nchi jirani ya kenya, uganda au rwanda, hivyo kunakuwa na utaratibu wa kuingia na kutoka jimbo moja kwenda lingine.
Kila jimbo linakuwa na utawala wake, hadi hapo hamuoni kuwa majimbo yenye utajiri wa raslimali yanaweza kuwa na sheria kali za uhamiaji hasa kwa vijana wanaosaka maisha? Hao wanaotaka tuwe na mfumo huo wangeuelezea faida na hasara zake kwa kulinganisha na mfumo wa sasa kwa mazuri na mabaya yake, au kama ni mfumo wa kuiga unaweza kuboreshwa kuendana na hali halisi ya Tanzania.
Umenena. Na huo ndiyo ukweli. Na ukiangalia sana nchi zote zilizo na mfumo wa majimbo hapa afrika, bado kuna kitu kama ukabila kinawatafuna. Mifano mizuri umeisema kama Somali, sudani kusini, Nigeria, Ethiopia nk,. Kwa sababu baadhi ya tawala za majimbo zinakuwa dhaifu matokeo yake ni vuguvguvu la kuondoa utawala wa jimbo na vurugu zinaanza na hiyo inakuwa shida ya nchi nzima. Ethiopia ni mfano mzuri. jimbo la Oromyia, mapigana yapo ambayo yamewafanya watu wawe wakimbizi kwa sababu ya udhaifu uliokuwepo kwenye jimbo hilo. sasa wanataka kujitenga. Ethiopia ilipoanzisha majimbo, watu wasitoka kwenye majimbo wafukuzwa. hasa wafanyakazi, walirudishwa makwao ili watu wa jimbo hilo wapate kazi. Tukianzishwa majimbo sitashangaa Msambaa anayefanyakazi Mwanza kufunkuzwa au makonde aliyeopo Kigoma kurudishwa Mtwara. hatujashindwa TZ kuendesha nchi kama ilivyo, kitu cha mhimu ni kuwa na mgawanyo sawa wa mapato, watu wadilifu na wenye weledi wanatakiwa waongoze hii nchi. siyo wanaoingia kwenye madaraka kwa njia ya fedha.
Faida zake ni nyingi sana,chache nizijuazo ni hizi:
1)utasaidia kuondoa urasimu ktk uekezaji,makampuni yanayotaka kuwekeza yatasajili moja kwa moja ktk serikali za majimbo
2)utachochea ushindani wa kimaendeleo kati ya majimbo
3)maendeleo yatapatikana kwa haraka ktk majimbo husika kwavile vipaumbele vya miradi ya kimaendeleo vinafahamika vyema na rasilimali fedha na watu vitakuwepo vya ku_implement these development programs
4)utasaidia kupanua wigo wa kidemokrasia kwa kuwa kila chama kinaweza kupata fursa ya kutawala majimbo flani na hivyo kupata pia fursa ya Ku_implement sera zao za kiuchumi na endapo zitaleta mafanikio ktk majimbo hayo itakuwa mwanzo wa vyama hivyo kuaminiwa na hivyo kupewa ridhaa ya kuongoza nchi.
5)unasaidia kuondoa uhodhi (monopolization of power) wa madaraka wa chama kimoja kama ilivyo sasa
6)unasaidia kupunguza matumizi makubwa ya serikali kuu kwakuwa shughuli nyingi muhimu za kimaendeleo zitatekelezwa ktk ngazi za majimbo
Ni hayo tu yangu machache,wengine wataongezea.
Again nitakwambia kuna tofauti kubwa kati ya FEDERAL na DEVOLVED states. Katika federation power comes from the 'majimbo' up to the 'serikali kuu', lakini kwenye devolved state power ipo mikononi mwa serikali kuu na hizo za majimbo zinagawiwa tu! USA na Germany ni federal states, Kenya, UK, South Africa na India ni devolved states. Kuhusu kuwa na katiba inategemea tu na makubaliano kati ya serikali kuu na hizo serikali za majimbo.Acha uongo.NAKUPA KATIBA YA JIMBO LA TEXAS HII HAPA
THE TEXAS CONSTITUTION ARTICLE 1. BILL OF RIGHTS
Kwa nini kila mkoa usiwe ni jimbo kivyake (Na Zanzibar iwe ni jimbo moja tu)? Jumla tutakuwa na majimbo 26, ambayo ni sawa kwa nchi kama Tanzania. Kenya ni kama nusu yetu lakini wana majimbo 48!Ili kusonga mbele kama Taifa na kuleta maendeleo sawa kwa watu tubuni Majimbo since our Country is large tuingie kwenye mfumo huu. Na iwe hivi: Mwanza, Kagera, Geita, Mara liwe jimbo liitwe hivi BUKOBA STATE or COUNTY, Shinyanga, Tabora Katavi yaitwe TABORA STATE. Dodoma, Singida Morogoro, Yaitwe DODOMA DC STATE. Dar, Pwani, Tanga Yaitwe DAR ES SALAAM STATE. Lindi, Mtwara, Ruvuma, Yaitwe COASTAL STATE. Arusha, Manyara, Kilimanjaro Yaitwe KIRIMANJARO STATE. Kigoma, Rukwa, Yaitwe WEST STATE. Mbeya, Iringa, na mkoa mwingine hapo nimeusahau Yaitwe GREEN STATE, UNGUJA STATE na PEMBA STATE. Mimi naona hivyo, unaweza kuborasha ili kuweka usawa wa rasmali kwa STATES au COUNTIES zote.
Faida zake ni nyingi sana,chache nizijuazo ni hizi:
1)utasaidia kuondoa urasimu ktk uekezaji,makampuni yanayotaka kuwekeza yatasajili moja kwa moja ktk serikali za majimbo
2)utachochea ushindani wa kimaendeleo kati ya majimbo
3)maendeleo yatapatikana kwa haraka ktk majimbo husika kwavile vipaumbele vya miradi ya kimaendeleo vinafahamika vyema na rasilimali fedha na watu vitakuwepo vya ku_implement these development programs
4)utasaidia kupanua wigo wa kidemokrasia kwa kuwa kila chama kinaweza kupata fursa ya kutawala majimbo flani na hivyo kupata pia fursa ya Ku_implement sera zao za kiuchumi na endapo zitaleta mafanikio ktk majimbo hayo itakuwa mwanzo wa vyama hivyo kuaminiwa na hivyo kupewa ridhaa ya kuongoza nchi.
5)unasaidia kuondoa uhodhi (monopolization of power) wa madaraka wa chama kimoja kama ilivyo sasa
6)unasaidia kupunguza matumizi makubwa ya serikali kuu kwakuwa shughuli nyingi muhimu za kimaendeleo zitatekelezwa ktk ngazi za majimbo
Ni hayo tu yangu machache,wengine wataongezea.
Again nitakwambia kuna tofauti kubwa kati ya FEDERAL na DEVOLVED states. Katika federation power comes from the 'majimbo' up to the 'serikali kuu', lakini kwenye devolved state power ipo mikononi mwa serikali kuu na hizo za majimbo zinagawiwa tu! USA na Germany ni federal states, Kenya, UK, South Africa na India ni devolved states. Kuhusu kuwa na katiba inategemea tu na makubaliano kati ya serikali kuu na hizo serikali za majimbo.
Tanzania hatuundi federation tunaunda a devolved state!