msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Perhaps....lakini ukweli ni kuwa decentralisation inachochea maendeleo. Unaweza ukanitajia ni nchi ngapi zilizo kwenye G8 ambazo hazina mfumo wa majimbo? Au hata hapa Afrika tu. Ukiangalia the top economies zote ziko hivyo!Majimbo Yote ni shida tu.Nenda india angalia jimbo la Kashmir linavyosumbua india.Jimbo lina utajiri mkubwa kutwa linaota kujitenga.Ni headache kwa india.Afrika kusini ni balaa tupu wanafukuzana na kukimbizana kwenye majimbo kama kuku.Huwezi KUISHI KWA RAHA au kugombea jimbo lisilo lako kama wewe si mzawa!!!
Ni bahati mbaya wanasiasa na vyama hawataki kuelezea sera zao.Wanachokalia ni kulipua mabomu tu ya nani kala nini au kaiba.Sawa yule kala au kaiba lakini wewe sera zako ni zipi zifafanue hawataki.Yaani inauma sana.Hawawatendei haki wananchi kwamba je wachague mtu kwa kuwa kalipua bomu au wamchague kwa sera zake.Wanaweka wapiga kura njia panda kwenye mikanganyiko.Mtu ansema tu sera ya majimbo halafu anatokomea bungeni au mitini bila kufafanua wala nini.
* Nakuunga mkono sana mkuu wanasiasa wetu ni pasua kichwa huwezi kumkuta akielezea sera za chama chake ili wananchi waelewe na kuchambua sera zao, ila wao hukalia kuikosoa CCM kana kwamba bila CCM kufanya makosa hawawezi kuwa na maneno.
Mfomo wa majimbO haufai Afrika sana sana utatuletea mgawanyiko.
naona kwa mfumo huu ndo maana nchi hizo zina maendeleo ya uhakika ukilinganisha na mifumo yetu mibovu ambayo tunaitumia na kwa hoja ya mikoa mingine itakuwa maskini eti kwa kukosa rasirimali si kweli kwani kila mkoa una rasirimali za kipekee kwenye kila mkoa na kupitia rasirimali hizo wanaweza kupiga hatua za kimaendeleo ..ni kheri kufahamu mikoa Fulani haina rasirimali tukajikita kutafuta mbinu za kuiimboa kuliko kufanya kwa pupa bila takwimu halisiUlichosahau ni kuwa serikali za majimbo hufanya kazi kwenye nchi ambazo zina ubaguzi wa
1.Kikabila
2.Rangi
Nchi zenye tabia hizo ndizo hutumia utawala wa majimbo.
Mfano ni Marekani ,Afrika ya kusini,Kenya,Nigeria ,INDIA,SUDAN NK.Kumaliza ubaguzi wa rangi na wa kikabila ndio Nchi hugawanywa kwenye majimbo.
Majimbo ni kama nchi kamili kabisa yenye raisi wake ambaye ni GAVANA wa JIMBO.Mtu kutoka jimbo moja kwenda jingine sehem zingine huhitaji kuwa na kitu kama passport na visa ya kuingilia jimbo lingine.
Tanzania haina tatizo la ubaguzi wa rangi wala kabila.
Mfumo wa majimbo husababisha baadhi ya majimbo kuwa maskini wa kutupwa kama hayana raslimali.Mfano chini ya mfumo wa majimbo mkoa wa Morogoro ungeongoza kwa utajiri sababu umeme wote unatoka kidatu morogoro pesa zote za umeme nchi nzima wangetakiwa wapewe watu wa morogoro.
Bandari ya dar es salaa na uwanja wa ndege wa dar mapato yote yangekuwa ya dar tu hayaendi popote.Mikoa kama singida,dodoma,kigoma nk ingekufa maskini wasingekuwa hata na barabara ya lami.Marekani wanakotumia huo utawala wa majimbo kuna majimbo maskini hadi yanatia huruma.
Utawala wa majimbo ni wa wabaguzi wa kikabila na kirangi.
Ulichosahau ni kuwa serikali za majimbo hufanya kazi kwenye nchi ambazo zina ubaguzi wa

Haya mambo yapo siku nyingi CDM sio wa kwanza na wala hiyo isiwe nongwa. Kwani CCM hawajafanyia kazi hoja ya CDM au chama kingine. Kama inafaa ichukueni ipigeni msasa mtupe kitu bora. Mbona hata mkulu partly ametokana na sera za CDM hata kama wao walibadilisha gia angani. Ufisadi isingekuwa issue sijui raisi angekuwa nani kama si EL labda BM.Ubataka CCM tuchukue sera ya CHADEMA? Utasubri sana kijana!
Mzee Tupatupa
Mbona hata hapa Tanzania kuna ubaguzi wa rangi na ukabila?Ulichosahau ni kuwa serikali za majimbo hufanya kazi kwenye nchi ambazo zina ubaguzi wa
1.Kikabila
2.Rangi
Nchi zenye tabia hizo ndizo hutumia utawala wa majimbo.
Mfano ni Marekani ,Afrika ya kusini,Kenya,Nigeria ,INDIA,SUDAN NK.Kumaliza ubaguzi wa rangi na wa kikabila ndio Nchi hugawanywa kwenye majimbo.
Majimbo ni kama nchi kamili kabisa yenye raisi wake ambaye ni GAVANA wa JIMBO.Mtu kutoka jimbo moja kwenda jingine sehem zingine huhitaji kuwa na kitu kama passport na visa ya kuingilia jimbo lingine.
Tanzania haina tatizo la ubaguzi wa rangi wala kabila.
Mfumo wa majimbo husababisha baadhi ya majimbo kuwa maskini wa kutupwa kama hayana raslimali.Mfano chini ya mfumo wa majimbo mkoa wa Morogoro ungeongoza kwa utajiri sababu umeme wote unatoka kidatu morogoro pesa zote za umeme nchi nzima wangetakiwa wapewe watu wa morogoro.
Bandari ya dar es salaa na uwanja wa ndege wa dar mapato yote yangekuwa ya dar tu hayaendi popote.Mikoa kama singida,dodoma,kigoma nk ingekufa maskini wasingekuwa hata na barabara ya lami.Marekani wanakotumia huo utawala wa majimbo kuna majimbo maskini hadi yanatia huruma.
Utawala wa majimbo ni wa wabaguzi wa kikabila na kirangi.
Hivi hujaona dar inavyobagua sehemu nyingine na soon dodoma itakuwa hivyo hivyo. Lakini pia hili li nchi ni likubwa centre haiwezi kujua yote yanayotokea na mahitaji ya sehemu zote hivyo majimbo yanasaidia. Faida nyingine ni kuwa na ushindani kati ya majimbo na bado the centre itakuwa na madaraka yake.
Tatizo la serikali za majimbo ni kubwa kuliko unavyoweza kuwaza.Tuchukulie mkoa wa ARUSHA LIWE JIMBO.Linaweza kutaka kuwa JIMBO MFANO KWA kujidai tu kuwa lina mbuga kubwa kuliko zote duniani ya ngorongoro ambayo huingiza mabilioni ya dola.Lakini ukiunda serikali ya majimbo kuna taabu nyingine huibuka.Wakazi wa ngorongoro hawawezi kubali mapato yao ya ngorongoro yaende kuhudumia watu wa Arusha mjini.Watataka yote yabaki ngorongoro.Ukianzisha pia serikali ya majimbo UKAANZISHA jimbo la Kilimanjaro kwa kuwa tu una kiburi kuwa una mlima kilimanjaro ambao watalii huingiza mabilioni watu wa Marangu wanaoishi kuzunguka huo mlima watagoma kuwa mapato ya mlima yasiende kokote zaidi ya kwao.Hawawezi kubali mapato ya mlima wao yaende kuhudumia watu wa Machame kwa MBOWE au SIHA au upareni.Kila mtu kwenye eneo lake na raslimali zake.
Tatizo kama hili ndio ile vita ya kabila la Ogon kule nigeria ambako ken saro wiwa mpigania haki za kabila la ogon alitaka mafuta yanayozalishwa pale yawe ya kabila lake na yafaidishe kabila lake hapo yanapochimbwa.
Nyerere aliliona hilo ndio akataka serikali moja isiyo na ukabila au ubagguzi wa aina yoyote
Ukianzisha serikali za majimbo usidhani eneo lisilo na hizo raslimali litakuwa na dezo ya kufaidi kienyeji.Ukigawa majimbo kiraslimali unaenda hivyo hivyo hadi kivijiji nk kijiji kisicho na chochote kisitegemee dezo kutoka vijiji vingine vyenye raslimali.
Naelewa wasiwasi wako lakini matemeo yangu majimbo yatakuwa kitu kipana zaidi na pia kuna kodi za kitaifa na central government itakuwa na uwezo wa income distribution. na niwazi sasa hivi wazo kama hili lawezekana kwani Mola ametujalia natural resources nyingi na pia makabila mengi yametawanyika Tanzania hivyo kupunguza hatari ya ukabila. Nafikiri ukiwa na dhamira na uongozi bora haya yanawezekana.
Dar wana miundombinu gani yanmaana kuliko kwingine. Maji hakuna umeme shida barabara....Ni kweli hii kitu inauma mtu anaposimama na kusema Dar ndo Tanzania wakati kuna mikoa ina rasilimalia nyingi kama madini Maziwa na Bunga lakini wananchi wake hata maji hakuna!
Me mwenyewa naitamani sana hii kitu!.